Baby come back. . .

Hahahahaha nimesoma hapa hapa nimecheka kifala sana!!!

Maisha bana!!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hahahahaha nimesoma hapa hapa nimecheka kifala sana!!!

Maisha bana!!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Doh...uzi wa miaka miiingi ila bado unabamba...

N way...mimi hata sijui sababu ni nn...ila nimeishi hapo miaka nenda rudi...mpk ndoa, mpk na watoto sasa...

hakuna nenda wala rudi tena...kuna walioingilia hapo, ila wakashindwa, wakatoka wenyewe...
hii naona ni mpk kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…