Kama mtakumbuka malikuwepo kijana mmoja anaitwa BABU alikuwa anatibu magonjwa sugu likiwemo ukimwi kwa kusoma kuran...huyu jamaa alikuwa anakaa tegeta/bahari beach kwenye ghorofa kubwa na alikuwa magari ya kifahari....
yuko wapi siku hizi?
sisikii huduma zake tena? yupo wapi siku hizi??