ama kweli kufa kufaana! idadi ya magari yanayopeleka wagonjwa samunge yamesababisha kuongezeka kwa kodi zilizowafanya wakusanya kodi hizo kushawishika kuzichakachua!
gazeti moja jana lilieleza kuwa ushuru unaokusanywa kutoka kwenye magari yanayopeleka wagonjwa kwa babu unachakachuliwa na mafisadi wachache waliopo katika kata hiyo. unaweza kuona ufisadi ulivyokuwa unatoka mbali, hata katika ngazi za vijiji watu wanachakachua je ngazi ya familia bado?