Sasa yeye yupo bank na kule home nani alikuwa anatoa huduma?Sio kunenepa tu, amenawiri na
kuwa kijana, chezea pesa weye!!
Economic explanation mkuu!Wakuu, Hapo babu kafanya la maana sana kuzipeleka fedha Benki, Bora zitazunguka na kuleta manufaa
kwa uchumi (circulation) kuliko kuzichimbia.
akatuletee zingine!!
yaani big amount aliyocollect na akazidepositi na mie na wewe tukapatepo kamkopo for small scale investmnts auEconomic explanation mkuu!