Mitchell JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 947 Reaction score 1,106 Sep 8, 2016 #41 Abunwasi said: Yeye alifanya hivyo kwa utashi wake lakini wewe hujazuiwa kuendeleza pale alipoacha 'KUTOA NI MOYO' Click to expand... umemaliza mkuu
Abunwasi said: Yeye alifanya hivyo kwa utashi wake lakini wewe hujazuiwa kuendeleza pale alipoacha 'KUTOA NI MOYO' Click to expand... umemaliza mkuu
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,698 Reaction score 4,639 Sep 8, 2016 #42 Alimdhihaki sana anayedhaniwa kuwa fisadi no. Tanzania..
mpita-njia JF-Expert Member Joined Dec 3, 2010 Posts 1,736 Reaction score 1,621 Sep 8, 2016 #43 King'asti said: Awe anambeba mgongoni, Na kumnywesha maziwa Na kijiko. Yaani Mtu kwa ujinga wake mwenyewe ajitumbukize kwenye starehe aliyoichagua, halafu walaumiwe wengine kwa maisha aliyojichagulia. Bongo bwana! Click to expand... Mtoa uzi network inaanza kupotea. Inabidi asiwe anakaa mbali na mnara.
King'asti said: Awe anambeba mgongoni, Na kumnywesha maziwa Na kijiko. Yaani Mtu kwa ujinga wake mwenyewe ajitumbukize kwenye starehe aliyoichagua, halafu walaumiwe wengine kwa maisha aliyojichagulia. Bongo bwana! Click to expand... Mtoa uzi network inaanza kupotea. Inabidi asiwe anakaa mbali na mnara.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,057 Reaction score 22,100 Sep 8, 2016 #44 Kwani yy ndio mama yake? Au baba yake?
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Sep 8, 2016 #45 algorithim said: apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa.. Click to expand... Kha afanyiwe yote hayo ili wagundue nini kutoka kwa chidi?
algorithim said: apewe pesa, matibabu, malazi, apelekwe studio, atengenezewe video kali, na atufutiwe shoo kali za kitaifa na kimataifa.. Click to expand... Kha afanyiwe yote hayo ili wagundue nini kutoka kwa chidi?
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,199 Sep 8, 2016 #46 Kwani kwenye sembe walikuwa wote, mbona hata hapo kamfanyia makubwa. Huyo Chid kwani alizaliwa kiotani, hana ndugu?
Kwani kwenye sembe walikuwa wote, mbona hata hapo kamfanyia makubwa. Huyo Chid kwani alizaliwa kiotani, hana ndugu?