Hivi wadau nimejaribu kuwaza....mara paap babu mwasapile kaibuka na kikombe cha corona ni vip tutaachia wagonjwa kutoka china na nchi nyingine waathirika wamiminike nchini tupige bingo la utalii wa matibabu au tutaacha babu na kikombe chake aende nchi itakayokuwa tayari kumuhifadhi atoe huduma.
Sent using
Jamii Forums mobile app