Asilimia kubwa walikua wakenya japo mpaka wazungu, wachina, waarabu, wahindi walikua wakimiminika kutoka kila pembe ya dunia actually he's a world's scam
huyu mzee ameuwa watu wengi sana .anaistahili kupelekwa international crimal court.(icc).in my opinion. wana jf whats your take on this Oldman and his fake medicine # loliondo genocide
Ashtakiwe kwa ujinga wenu? Kwani aliwafuata nyumbani kwenu akawalazimisha kunywa? Mlienda wenyewe na mkachagua kuamini kwamba kikombe kitawaponya. Now deal with it!
Hata Kenya pia kuna washamba wengi. Ila sio asilimia kubwa kama Tz, ambapo hata watu wenye Phd zao za 'Chemistry' walipigwa kiboko cha mfukoni na Profesa Ambilikile Mwaisapile Mwakikombile.
Siyo dawa yake kuua, bali saikolojia yake ndiyo iliyoua watu kihalaiki. Ni sawa na manabii feki, wanaoaminisha waumini wao kuacha dawa na kisha kuishi kwa maombi, matokeo yake yanafanana.
Siyo dawa yake kuua, bali saikolojia yake ndiyo iliyoua watu kihalaiki. Ni sawa na manabii feki, wanaoaminisha waumini wao kuacha dawa na kisha kuishi kwa maombi, matokeo yake yanafanana.
Kenyans didn't construct a road to Babu wa Loliondo's gate, so that people could access his 'magic' with ease. This man and his fellow 'wise experts' in the government of that era did.