Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 13,981
- 30,339
Ulaya na America, watoto hawana time ya kulea wazazi wao wazee.babu yupo sahihi watakao kuangalia kipendi cha uzee wako ni watoto wako na mkeo jengeni familia mapema final uzeeni
ulaya na Amerika huo ni mfumo na utamaduni wao waafrika hatupo hivyoUlaya na America, watoto hawana time ya kulea wazazi wao wazee.
Ukizeeka unapelekwa kwenye nyumba ya kulea wazee.
Unaweza kujenga familia mapema na kuzaa watoto mapema wakafa kabla yako. Uzeeni ukabaki mwenyewe
Hakuna uhakika kwamba ukizaa watoto mapema na kuoa mapema utafika uzeeni. Unaweza kufa ungali kijana pia.
Watoto wako na mke wako wakifa kabla yako, Huko uzeeni utalelewa na nani?ulaya na Amerika huo ni mfumo na utamaduni wao waafrika hatupo hivyo
na tusitake kuiga mambo yao tuwaachie wenyew
hayo mengine ni mipango ya mungu
na wewWatoto wako na mke wako wakifa kabla yako, Huko uzeeni utalelewa na nani?
Aahh! Sikujua kwamba wewe ni mwana mama.πna wew
siwez kuwa na mke bali mume
kama ni me unaanzisha familia upya
sio kweli bana inategemea
π€£π€£π€£π€£Aahh! Sikujua kwamba wewe ni mwana mama.π
inategemea na tabia zake nkWewe unaweza kutunza mume mpaka 77 years? π
xiexie n tn ting de sinKwa vile wewe ni mchina Yaping Xi Laan ngoja nimuite rais wenu Xi Jinping atuambie kama huyo Babu yupo sahihi,
cc The former President Hu Jintao
[emoji23][emoji23][emoji23]Sababu hakuoa, ndio maana kafikia miaka 77, angeoa asingefika miaka hiyo. [emoji16]