Babu Duni: Kikwete anachekacheka, Magufuli anashangaa

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Akiwa anaendelea na kampeni katika mikoa ya kanda ya ziwa mgombea mwenza wa muungano wa Ukawa kupitia Chadema Ndg. Duni Hani (Babu Duni) kamlipua Kikwete na kusema nchi ilifanya makosa sana kuchagua mtu mweye kaliba ya Jakaya.

"Nchi haihitaji mtu wa kucheka cheka, ndio mana karibu nchi zote za ukanda wa kusini mwa Sahara zishatupita katika maendeleo, viongozi wao wako seriuos kuwatumikia wananchi na sio kucheke"

Katika hatua nyingine Duni kamlipua Magufuli na kusema anajiabisha na anazidi kujipotezea kura pale anaposhangaa kila jambo linalofanywa na serikali hii ya awamu ya nne wakati yeye pia ni moja wa viongozi katika serikali hiyo hiyo, tena ni waziri mwandamizi.

Duni kawataka wananchi kutoichagua CCM tena kwa kuwa hawana kipya watakachokileta, walipewa miaka 54 wakashindwa kwa hii miaka 5 au 10 hakuna miujiza watakayoleta... Kawataka wananchi kuichagua Ukawa ili nchi iende na kasi kama za wenzetu kama Rwanda, Kenya, Botswana na Ethiopia pamoja na kuleta maisha bora kwa wananchi.

Chanzo: Mtanzania
 
Attachments

  • 1442643048263.jpg
    1442643048263.jpg
    45.8 KB · Views: 1,020
Atakaye ichague CCM apimwe akili
 
magufuli ni mjumbe wa kikao cha baraza la mawaziri kwa miaka kumi NA tano,hakuna namna atajitoa kwenye shida NA dhahama ya jahazi LA xxm
 
Ocampo four na Mussa Allan nadhani ndo watakuwa wakwanza kupoteza maisha baada ya october 25 pale safari ya kapi itakapohitimishwa rasmi, mnapenda kupita kiasi, yaani hata mkiambiwa mtoe nanhii kwa Lowassa mko radhi!
 
Tatizo nchii hii wajinga ni wengi ndilo linasababisha hiko chama kipate jeuri
 
Mr kucheka amesema eti Tanzania kwasasa inamuitaji mtu serious baada ya yeye kutokuwa serious

serikali inaendeshwa kwa STK=sheria,taratibu NA kanuni,hatuhitaji MTU akunje ndita na ku-operate kama zuzu,tunachoshudia ni upole wa kuruhusu watu wa EPA,warudishe pesa,twiga wapande ndege,malori ya eskrow....ishu ni kufuata STK
 
Ocampo four na Mussa Allan nadhani ndo watakuwa wakwanza kupoteza maisha baada ya october 25 pale safari ya kapi itakapohitimishwa rasmi, mnapenda kupita kiasi, yaani hata mkiambiwa mtoe nanhii kwa Lowassa mko radhi!

And vice versa is true, namaanisha hata upande wa pili ni hivyo hivyo!
 
Ocampo four na Mussa Allan nadhani ndo watakuwa wakwanza kupoteza maisha baada ya october 25 pale safari ya kapi itakapohitimishwa rasmi, mnapenda kupita kiasi, yaani hata mkiambiwa mtoe nanhii kwa Lowassa mko radhi!

Kama kufa angekufa kipindi cha kukatwa, hivi huyo ulie mtaja unajua ni nani?
 
Akiwa anaendelea na kampeni katika mikoa ya kanda ya ziwa mgombea mwenza wa muungano wa Ukawa kupitia Chadema Ndg. Duni Hani (Babu Duni) kamlipua Kikwete na kusema nchi ilifanya makosa sana kuchagua mtu mweye kaliba ya Jakaya.

"Nchi haihitaji mtu wa kucheka cheka, ndio mana karibu nchi zote za ukanda wa kusini mwa Sahara zishatupita katika maendeleo, viongozi wao wako seriuos kuwatumikia wananchi na sio kucheke"

Katika hatua nyingine Duni kamlipua Magufuli na kusema anajiabisha na anazidi kujipotezea kura pale anaposhangaa kila jambo linalofanywa na serikali hii ya awamu ya nne wakati yeye pia ni moja wa viongozi katika serikali hiyo hiyo, tena ni waziri mwandamizi.

Duni kawataka wananchi kutoichagua CCM tena kwa kuwa hawana kipya watakachokileta, walipewa miaka 54 wakashindwa kwa hii miaka 5 au 10 hakuna miujiza watakayoleta... Kawataka wananchi kuichagua Ukawa ili nchi iende na kasi kama za wenzetu kama Rwanda, Kenya, Botswana na Ethiopia pamoja na kuleta maisha bora kwa wananchi.

Chanzo: Mtanzania
babu Duni na sera yake ya ''ndembendembe kifo cha mende''
chadomo kazi mnayo mnaokoteza watu na kuwapa kugombea urais
 
Safi sana Mh Babu Duni.Tuko tayari kwa mabadiliko na Lowassa maendeleo speed 120 kwa sababu anajua umaskini watanzania umetokana na utawala dhaifu wa kuchekacheka
 
CCM iondoke tuu.wamesababisha ndovu wetu kumalizwa.Twiga wetu kutoroshwa,madini kuporwa na wageni,na uhuni wa kila namna kwenye uchumi wetu.
 
Back
Top Bottom