#Toroka uje mkuu mlango uko wazi#Mpaka Babu Duni naye anapata mafuriko duh! Basi mvua za mwaka huu kiboko.
Asante pia kwa kutangaza blog yako!
Tuombe mungu siku zilizobaki wasimalize albino.Mwaka mbaya sana huu kwa CcM, watamaliza waganga lakini kaniki ni rangi yake !!
Kwa kweli hamna namna yeyote. Kila kona Lowassa. Nimetoka Tarime kule ukimzungumzia Magufuli wanaweza kukutemea mate. Wananchi wanataka mabadiliko. Wamechoshwa na CCM na kwa kweli wamlaumu Mwenyekiti wa CCM kwa CCM kuelekea kushindwa. Wananchi wana hasira sana. Mfano ESCROW watu wachache wameiba fedha nyingi huku wananchi wakiteseka kukosa huduma muhimu. Pigeni kura za hasira dhidi ya CCM.