Babu asitusahaulishe matatizo yetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu asitusahaulishe matatizo yetu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KYALOSANGI, Mar 11, 2011.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,890
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  kUNA MWELEKEO MPYA WA MIJADALA HAPA NCHINI KUTOKA KWENYE UFISADI HADI KWA BABU LOLIONDO.JAMANI NCHI HII INA TATIZO KUBWA LA UONGOZI TUJADILI HAYO TUMWACHE BABU AFANYE MABO YAKE
  HIVI NANI ANAJIULIZA KUHUSU NKESHO TUKIWA NA JK.NCHI INAANGAMIA TUCHUKUE HATUA.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Inawezekana Babu katumwa kututoa kwenye mada.....?
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tunataka maandamano yetu, tunaitaka hoja yetu ya Dowans na kAtiBa!
   
Loading...