Babu achezea masaburi ya waendesha bodaboda

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Huku mbezi kuna babu mmoja nouuuma sana. Akipakiwa kwenye bodaboda anajifanya muoga anamkumbatia kiunoni dereva. Kumbe si moga wala nini anatatizo la mfadhaiko kwenye mashimo anajifanya 'yalah kijana waniumiza' anazidi kumkumbatia dereva na kuachia mambo. Madereva wa boda mbezi wameloweshwa na babu.mwanzoni walizani maji ya kawaida. Waliponusa wakaini kuwa ni harufu wa vitu adimu. Babu huyo anatafutwa kwa sasa wameahid4 wakimpata watambea kama mpira wa kona.
 
Back
Top Bottom