Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Mkuu upo tayari kutoa vyote ulivyoombwa?nimeipata namba yake ngoja nimfuate mimi
Love u too baby.sasa naona mtandao unazingua Fanya mpango tukutane gesti.nikupe hizo hela.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Dah hata laki haifiki unaanza kulialia....je ingekuwa milioni?? Acha utoto..Kuwa mwanaume bana[emoji13] [emoji13]
Kweli kabisaKwa hio unataka nani amnunulie hivyo vitu?
Nyie ndo mnatoa siri za ndani ya ndoa zenu