Mafisadi? Wamefaidika na nini?
Wamesema mabomba yenyewe walishiriki kwenye ujenzi, ni ya kwao, kwa hiyo hawezi kuja fisadi ghafla akaanza kunufaika nayo. Wakiyapasua ni yao. Ndio maana wanayapasua ku protest.
William Shakespeare: "To do a great right, do a little wrong."