I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,671 Reaction score 5,476 Oct 4, 2025 #1 Leo ndo nimeshangaa. Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa. Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA. Miaka yote hajastuka ila safari hii kastuka mbogamboga ni kikundi cha MATAPELI.
Leo ndo nimeshangaa. Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa. Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA. Miaka yote hajastuka ila safari hii kastuka mbogamboga ni kikundi cha MATAPELI.
uvugizi JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,351 Reaction score 1,100 Oct 4, 2025 #2 Sipendi maandamano na si mshabiki WA Wana SIASA . Mimi ni shabiki wa yesu . ila kwa kweli kama taifa tuna shida sehemu . Tunahitaji Umoja wa kitaifa
Sipendi maandamano na si mshabiki WA Wana SIASA . Mimi ni shabiki wa yesu . ila kwa kweli kama taifa tuna shida sehemu . Tunahitaji Umoja wa kitaifa
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,628 Reaction score 109,032 Oct 4, 2025 #3 Mzee wako kazinduka toka usingizi wa fofofo
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,454 Reaction score 43,426 Oct 4, 2025 #5 Mafisadi yameharibu chama hadi nchi,tuyakatae
U Umsolopagaasi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 940 Reaction score 975 Oct 4, 2025 #6 Write your reply...baba lako fisadi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,351 Reaction score 196,028 Oct 4, 2025 #7 Hatari sana... Cc: Mahondaw
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 4,447 Reaction score 9,498 Oct 4, 2025 #8 inchaji said: Leo ndo nimeshangaa. Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa. Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA. Miaka yote hajastuka ila safari hii kastuka mbogamboga ni kikundi cha MATAPELI. Click to expand... CCM ndo wengi hawataki mgombea wao na tena ndo wanampiga vita balaa. Mbogamboga ni wabaya sana
inchaji said: Leo ndo nimeshangaa. Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa. Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA. Miaka yote hajastuka ila safari hii kastuka mbogamboga ni kikundi cha MATAPELI. Click to expand... CCM ndo wengi hawataki mgombea wao na tena ndo wanampiga vita balaa. Mbogamboga ni wabaya sana