Baba yangu Askofu Kakobe upo wapi?

Miti shamba nayo inachuja sasa nayeye kashachuja kama ela alizopata hakujijenga basi kazi kwake labda aka renew lakini sidhani kama nyota itarudi maana masharti yake ni kwa mda maalum unachuma ikiisha basi.
Toa uchawi wako hapa
 
OOOOOH HALELUYAAAAAAH!..SHIKA NENO TENDA NENO ULIYEPEWA NEEMA KUBWA....
 
hivi hao jamaa wanakuaje maana hapa mjini kuna dini nyingi aise
 
Kakobe hana uwezo wa kuponya. Ni Mungu tu ndiye aliyemponya mama yako kwa sababu ya imani yake.
 
Askofu Kakobe yuko kanisani kwake pale Mwenge jirani na Mlimani city. Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa hajakosa kuhudumia ibada mubashara.

Jumuika na maelfu ya watu kwa kuhudhuria ibada kanisa la Full Gospel Bible Fellowship kila siku ya jumapili kama nami nilivyoalikwa rasmi leo.
 
Anataka sadaka, kumbuka sarafu hazitakiwi
 
Mkuu wew si ulikuwa huamini mambo ya Mungu kabisa au sikuhizi umeshampokea Bwana. .
 
Jamani wanaNzengo wa Tanzania, napenda kuuliza.

Je, yupo wapi mtumishi wa Mungu Mchungaji KAKOBE....!!!!!!????
 
unajua ni kwanini kanisa katoliki halikubaliani na jina la YHWH ? licha ya kuwa wao ndo wamecompile biblia. hii itakuwa mada mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…