Baba wa taifa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa taifa....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magulumangu, Sep 24, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wanajf kipindi cha utawala wa mzee LUKSA baba alikata ukimya na kusema WATANZANIA hatuwezi ongozwa toka kitandani, Je,haya ya mzee MWANGUKAJI angekuwepo mzee,baba wa hili taifa sijui angesema nn maana tunaona sijui tanzania inataka iongozwe na mji wa KIKWETE au siujui imekaaje wazee?IJUMAA NJEMA
   
 2. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Angewatia mikong'oto wote kuanzia Makamba, Kinana na JK mwenyewe!!
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angeunganishwa kwenye kesi ya kuua kwa kuwatoa watu kwenye nyumba zao na kuwapeleka wakaliwe na simba porini.
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu umenikumbusha hapo,hivi unajua kigamboni watu waliliwa na simba kibao lkn sasas kikwete anaiuza je ina maana nchi yetu inatoaga kafara kwanza kuangalia kama fresh inawanyanganya wenye nayo?
   
 5. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wishfull thinking!!! Huna lolote unalolijua, you are just one of those fisadis who are afraid of their own shadows!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  nyerere angesema kwa kifupi tu kuwa hatuwezi kuongozwa na rais mgonjwa na dhaifu kiuongozi na mwenye kulinda marafiki zake wezi wakuu wa mali ya umma kwa kushirikiana nae...............AFYA TU INGEKUWA ENOUGH DISQUALIFICATION!
   
 7. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe uliyekuwa na "lolote" what have you offered? Inaonyesha wewe simba walikula akili yako. Teh teh teh :becky:
   
Loading...