KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,985
- 3,254
Ila Oscar Kambona naye alisema Nyerere ni Mtusi!.[emoji23][emoji23][emoji23]Unaona? Wala sijachukia wala kupandisha hasira, nakuonea huruma tu kwa namna unavyohangaika. Ni bahati mbaya tu kuwa aliyetota hajui kutota.Je unasoma kweli na kufuatilia majibu unayoyapata humu pamoja na maswali ambayo huthubutu kuyajibu. Nilikushauri tu, kwaheri!
Je unajua Mohamed Said kazaliwa lini? Yeye mwenyewe anajua kuna kaka zake humu. Alipojiunga na JF forum mwaka 2008 alitukuta humu na toka siku ya kwanza hoja zake ni hizo hizo mashujaa wake wa uhuru wa Tanganyika, wakiwa ni walowezi wa kutoka Afrika Kusini na Congo. Kisa? Waliishi pamoja mitaa ya Gerezani na wakaoleana.
Mambo wazi kabisa!Safi sana.MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.
Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.
Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:
Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.
Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.
Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.
Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.
Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.
Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:
Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.
Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.
Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.
Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.
Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!
Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.
Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
Afadhali hukubadilisha Id , bwana Yesu alishawataja watu Kama nyinyi wengine ndiyo mlivyozaliwa, hamlaumikiVagina unawashwawashwa nini? Au ndiyo siku zako za mwezini zisizoisha? Niende huko ili iweje?
Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?
Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?
Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?
Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
Allah azidi kukuhifadhi mzee wetu Inn Shaa Allah.King...
Usiseme hivyo ndugu yangu.
Mimi nashukuru kuwa nilizaliwa wakati huo na watu hao.
Hii ndiyo imenifanya mimi kuwa sehemu ya historia hiyo na hivyo kujua mengi.
Tuna wajibu wa kuwafundisha wenzetu historia hii.
Haifai kuwananga.
Historia hii imewashtua wengi sana.
Na utegemeee watu kubadilisha dini ili kuchangamkia fursa ya kupata madaraka kwa kofia ya Imani.... (Huyu jamaa anataka ku-open a Pandoras Box).... Mimi napenda nchi ambayo sihitaji hata kujua aliye mbele yangu imani yake, sababu najua ni binadamu mwenzangu....Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?
Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?
Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?
Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
Zanzibar...Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?
Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?
Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?
Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
King...Allah azidi kukuhifadhi mzee wetu Inn Shaa Allah.
haina mashiko hoja hii. Na wanayohangaika nayo pia wanafanana na hoja yenyewe. Haitakaa kupewa uzito duniani wala mbinguni. Kama hoja hii unaona ina mashiko, nakutaarifu umechelewa. Zile crusade za miaka ile zingelimaliza dini moja ili nyingine iendelee kuwepo. Wamekufa waliopigana na hawakufanikiwa.Tangawizi,
Unaweza kuiona hii hoja haina maana kwako lakini hii 20:80 inahangaisha wengi na kwingi.
Wengi wangependa sana kama serikali ingetoa kauli.
haina mashiko hoja hii. Na wanayohangaika nayo pia wanafanana na hoja yenyewe. Haitakaa kupewa uzito duniani wala mbinguni. Kama hoja hii unaona ina mashiko, nakutaarifu umechelewa. Zile crusade za miaka ile zingelimaliza dini moja ili nyingine iendelee kuwepo. Wamekufa waliopigana na hawakufanikiwa.Tangawizi,
Unaweza kuiona hii hoja haina maana kwako lakini hii 20:80 inahangaisha wengi na kwingi.
Wengi wangependa sana kama serikali ingetoa kauli.
😂 😂 😂 😂 😂 😂. UHata kama ma Phd wanatuletea juisi kutoka Madagascar ya kuganga corona ??
Tangawizi,haina mashiko hoja hii. Na wanayohangaika nayo pia wanafanana na hoja yenyewe. Haitakaa kupewa uzito duniani wala mbinguni. Kama hoja hii unaona ina mashiko, nakutaarifu umechelewa. Zile crusade za miaka ile zingelimaliza dini moja ili nyingine iendelee kuwepo. Wamekufa waliopigana na hawakufanikiwa.
Trust me hutafanikiwa. Sababu ina agenda yenye kubeba kudhalilishana na kuonea wengine. Hujachoka tu?
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Masta...Hao watu waliona mbali sana.
Asp,Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?
Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?
Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?
Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
Zanzibar...Kwa mfano, embu tuseme hivi; waislamu ndio walijitoa zaidi kuupigania uhuru wa Tanganyika na historia hiyo haiwekwi wazi na rasmi. So what?
Nini mleta mada unakitaka?
Tufanyeje sasa?
Mwisho itakuwaje?
SYL...Asp,
Anadai kuwa historia hii ya mchango mkubwa wa waislamu imefutwa.
Anadai yeye anajaribu kuiweka wazi na kuweka wazi asilimia 20 ya waisilamu na 80 ya wakristo sio uwiano sawa.
Naelewe fika umuhimu wa kuelewa historia.
Ambacho sielewi ni kile unachouliza, nami najiuliza hayo hayoSy
Je anataka kutuonyesha kuwa kuna ubaguzi wa chini chini Hapa nchini?
Je Kama Waarabu, na Wazungu wasingekuja na Dini zao, pamoja na vita zao za Udini tung
Schmidt,Mzee Said eee, jibu hoja: jee, Wamanyema na Wazulu ni makabila ya kizawa ya Tanganyika/Tanzania?
Pili: jee, kuna uwezekano gani wa Mzulu kuwa Muislamu mwanzo wa karne ya 19?