Baba wa Taifa na sifa za kiongozi

Huyo Nyerere na siasa zake za ujamaa si ndio aliyeanzisha vijiji vya ujamaa na watu wakaliwa na simba porini...!

Makampuni mangapi yalikufa mikononi mwake, viongozi wangapi ambao walifilisi mali za umma na yeye akawaamishia kwenye mashirika mengine...!

Nyerere huyo huyo si ndio alituingiza vitani, kiasi ya uchumi wetu kurudi nyuma, mpaka leo tumeshindw kuurudisha...!

Nyerere huyo huyo kupitia siasa zake si ndio alinyang'anya mali za watu eti Azimio la Arusha...! Kisha wakarejea tena kuwanyang'anya wananchi niaka ile ya themanini... Eti wahujumu uchumi...!
 
Lawama zitakuwepo tu na wanaomlaumu waache waendelee kumlaumu mzee wa watu alishajipumuzisha zake.
Watu hawajui jinsi gani alivyoweza kuifanya TZ kuwa kama ilivyo kwa sasa, tuna utanzania hayo yote yasingekuwepo kama sio busara zake.
Hata kama baadhi ya maaneo alifeli, je ni viongozi wangapi walifeli kipindi hicho?
USSR ili-collapse,Chairman Mao pamoja na kuheshimiwa sana lakini wakati wake China ilikuwa masikini ya kutupwa ila walipokuja maraisi wengine wakaona kuna umhimu wa kubadili mfumo mzima wa nchini katika uchumi-China Change and Reform Policy(something which ws almost the same with Industrilization in Europe).
Pamoja na hayo , bado Nyerere aliweza kukiri kwa kinywa chake kuwa kuna sehemu alikosea au wao kama viongozi walikosea(Akasema muangalie yaliyomazuri ili muyaendeleze na yalio mabaya muyaache) na akasema tatizo la watu wanapenda kuangalia yaliyo mabaya tu na kuyaacha mengi tu yaliyo mazuri'
Tatizo je viongozi wetu walifuata yapi mazuri? au waliamua kujiendea wao wenyewe?
 
that was the policy under Ujamaa system,
sasa ulutaka wafanyaje wakati waliona hicho ndio kitu kilichokuwa bora kwa wakati huo?
Kipindi kile hakukuwa na either mfumo fulani ni bora juu ya mwingine , na kila nchi zilifanya kulingana na matakwa yake.
Ni kweli ni nchi nyigi tu amabzo zilianguka kupitia hiyo mifumo yake na nyingine ziliweza kushamili.
Hivyo kushindikana kwa mfumo ambao uliutegema na kuuamini haimaanishi kuwa hukujali wanannchi.
tumia busara kufikiria
 
At the moment no signs zinazoonyesha matatizo hayo yanyashughulikiwa seriously.kinyume chake baadhi ya incompetent and greedy leaders are even exarcebating the magnitude of the same problems.
 
Nyerere hakuwa na busara na ndio mana akapachikwa jina "Ahambiliki"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…