Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Kwahiyo unataka kusemaje! Tusiseme maovu na uvujwaji wa democracy na katiba unaofanyika
Semeni,mipaka izingatiwe katika uhuru wa kusemaKwahiyo unataka kusemaje! Tusiseme maovu na uvujwaji wa democracy na katiba unaofanyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka mtu akitukanana na mkewe hasira azimalizie kwa kumtukana JPM.
Hakuna anayekuzuia kuwakilisha maoni yako, cha muhimu uyatoe hadharani pasipo kumtusi mtu mwingine.Kwahiyo unataka kusemaje! Tusiseme maovu na uvujwaji wa democracy na katiba unaofanyika
Sent using Jamii Forums mobile app