Cr wa familia JF-Expert Member Joined Jun 18, 2023 Posts 1,064 Reaction score 1,453 Aug 27, 2023 #21 Mr. Sound said: kila jambo hutokea kwa sababu, sababu ya jambo hili ni kutotimia ndoto ya kumuoa mzazi mwenza, hivo akamkatalia mtoto ajili ya hasira. Click to expand... sawa boss
Mr. Sound said: kila jambo hutokea kwa sababu, sababu ya jambo hili ni kutotimia ndoto ya kumuoa mzazi mwenza, hivo akamkatalia mtoto ajili ya hasira. Click to expand... sawa boss
M Mr. Sound JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 2,217 Reaction score 4,800 Aug 27, 2023 Thread starter #22 jjs2017 said: Mwanaume anayejielewa hawezi kukubali mtoto wake akalelewa na mwanaume mwenzake .. Inshort wewe hujielewi Click to expand... naheshimu maoni yako, japo huijui vyema situation ya jambo hili.
jjs2017 said: Mwanaume anayejielewa hawezi kukubali mtoto wake akalelewa na mwanaume mwenzake .. Inshort wewe hujielewi Click to expand... naheshimu maoni yako, japo huijui vyema situation ya jambo hili.
Pleasepast JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 509 Reaction score 848 Jan 23, 2024 #23 Mr. Sound said: naheshimu maoni yako, japo huijui vyema situation ya jambo hili. Click to expand... Hakuna cha situation mkuu hapo umezingua sana haiwezekani uache mtoto wako alelewe na Baba wa kambo wakati na wewe upo
Mr. Sound said: naheshimu maoni yako, japo huijui vyema situation ya jambo hili. Click to expand... Hakuna cha situation mkuu hapo umezingua sana haiwezekani uache mtoto wako alelewe na Baba wa kambo wakati na wewe upo