Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 511 Mar 12, 2013 #1 Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA SANA!!2muombee chairman wetu jamani!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA SANA!!2muombee chairman wetu jamani!!
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,345 Mar 12, 2013 #2 Tunampa siku tatu asipoonekana tutaitisha uchaguzi huru na wa haki
W Weera weraaaa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 740 Reaction score 657 Mar 12, 2013 #3 Ha ha ha!!! RIS Baba V,msalimu sana Mpenda Yesu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 511 Mar 12, 2013 Thread starter #4 Chimbuvu said: Tunampa siku tatu asipoonekana tutaitisha uchaguzi huru na wa haki Click to expand... unadhani Kasungamile atatoka leo! Kwani nasikia amebambikiziwa na kesi! Ya Unyang'anyaji&Uporaji!!,tatizo anajiingiza kwenye siasa za Jf na Pesa hana!!
Chimbuvu said: Tunampa siku tatu asipoonekana tutaitisha uchaguzi huru na wa haki Click to expand... unadhani Kasungamile atatoka leo! Kwani nasikia amebambikiziwa na kesi! Ya Unyang'anyaji&Uporaji!!,tatizo anajiingiza kwenye siasa za Jf na Pesa hana!!
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,539 Reaction score 30,094 Mar 12, 2013 #5 Yegoo said: Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA SANA!!2muombee chairman wetu jamani!! Click to expand... Kwa kweli Baba V huko siasani anakorandaranda kutakuja kumfunga kifungo cha maisha.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Yegoo said: Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA SANA!!2muombee chairman wetu jamani!! Click to expand... Kwa kweli Baba V huko siasani anakorandaranda kutakuja kumfunga kifungo cha maisha....