Jioni hii nimemuona baba riz akitumika kuadvertise tangazo la TRA....eti wananchi wenzangu toeni kod kwa maendeleo! Mwe! Me nimebaki na mawazo mengi, je ni ameishiwa kiasi hcho..? Hapakuwepo na watu wengne wa kuadvertiz mpaka rais? Au vile apenda uza sura? Me naona Hii ni kama baba kuingia jikoni kupika hali mke na watoto wako around tena hawaumwi wala hawana tatizo...!

Acha akiri za kitoto, kodi ni utu wa mgongo ktk pato la taifa hivyo Raisi ni kiongozi wa serikali hivyo kutoa elimu ya kodi sio ajabu, Jamani na Mwinyi naye anahamasisha kuupigia kura mlima Kilimanjaro Uwepo Ktk Maajabu ya Dunia. Hebu tuache upinzani wa kitoto na tuweke utaifa na maendeleo mbele.
Duh! Kumbe mkuu uingii jikoni kurekebisha mambo mpaka mansap aumwe! aaah! Mapenzi hayapo hivyo bwana jaribu siku moja huku mama na watoto wanakuangalia wakisubiri
kupata ladha ya msosi unaouandaa banaaa lol.
sioni tatizo ila nadhani anapiga debe zaidi ili KUPATA PESA NYINGI ZAIDI KUONGEZA SAFARI ZAKE ZA NJE.
Umenikumbusha serikali ya kidicteta ya Mkapa na Mrambakwani kasitisha kwa madai pesa hazipo? umesahau kama tulishatangazia bora tule nyasi lakini uhakika wa safari uwepo
Anapenda kuonekana onekana kwenye mambo madogo madogo.huyu JK kanichosha! sina la kukoment