Baba na mwana

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211


Raisi Yoweri Kaguta Museveni amekuwa ni Rais wa Uganda kwa miongo kadhaa sasa. Wakati anakaribia kustaafu; ameamua kuliweka jeshi la Uganda chini ya uongozi wa Brigedia Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wake.

Hatua hii inachukuliwa kama kumuandaa kijana wake kuwa Rais ajaye wa Uganda.
 
Hiyo nchi ina historia ya ufalme hivyo kwao si nogwa kurithishana!
 
aiseeee babayangu wanataka kuleta mambo ya ARUMERU waliotaka kufanya c c m
 
Baba na mwana, unanikumbusha Babu Seya, Baba na mwana wanaimba kwa pamooja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…