kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
- Thread starter
-
- #41
:Ndungu yangu ktk case hii kuna siri nzito ambayo watu wengi hawaijui na kubaki kulaumu viongozi hasa kiongozi mkuu wa nchi, kiukweli hawa jamaa wanahusika katika case kuna ushahidi wa CD inayoonyesha hawa jamaa wakifanya jambo lile na kikubwa hawa jamaa walikua wakiandaa move ya X, sasa kilichomsaidia yule teacher na wale watoto wawili hawakuonekana ktk ile move, nimewapa kwa ufupi tu llkn kuna mlokongo mrefu ktk ile case..mengine nitawaambia next time wacha niendelee na majukumu mengine...
Hivi alifungwa awamu ya mkapa au jk?
bdo,mimi binafsi niliyeanzisha uzi huu simfahamu wala sijapata kumwona nguza viking au mwanaye papii kocha ana kwa ana zaidi ya kuwaona kwenye tv au cd za muziki! Baba na mwana ni wasanii wa muziki waliokuwa wakiiburudisha jamii na bado wanatuburudisha kupitia tv na cd zao za muziki japo si kama wapenzi wa muziki wao walivyozoea!
Waswahili wanasema,"zimwi likujualo,halikuli likakwisha." ikumbukwe kuwa nguza viking na wanawe watatu wa kiume walisingiziwa kesi ya kulawiti na kuhukumiwa kifungo cha maisha! Lakini kwa msaada mkubwa wa kisheria toka kwa mwanasheria maarufu nchini mabere marando watoto wawili wa nguza waliachiwa huru!
Lakini wakati wa kesi ushahidi uliotolewa mahakamani uliwakandamiza kuwa walishirikiana na baba yao kuwalawiti wale watoto wa shule ya msingi huko sinza! Inasemekana kufungwa kwa nguza viking na wanawe kuna mkono wa mtu anayelipiza kisasi! Sijui labda kuna siku watatoka kwa msamaha wa rais!!
:Ndungu yangu ktk case hii kuna siri nzito ambayo watu wengi hawaijui na kubaki kulaumu viongozi hasa kiongozi mkuu wa nchi, kiukweli hawa jamaa wanahusika katika case kuna ushahidi wa CD inayoonyesha hawa jamaa wakifanya jambo lile na kikubwa hawa jamaa walikua wakiandaa move ya X, sasa kilichomsaidia yule teacher na wale watoto wawili hawakuonekana ktk ile move, nimewapa kwa ufupi tu llkn kuna mlokongo mrefu ktk ile case..mengine nitawaambia next time wacha niendelee na majukumu mengine...
Haiingii akilini wala sipati/sioni logic kabisa katika kesi hii. Inawezekana vipi mtu na watoto wake wakawa wanalawiti kwa pamoja, hata kama wendawazimu. Yaani ukijaribu kutumia hata akili ndogo kabisa utagundua hapo kuna mkono wa mtu mkubwa ambao unalipiza kisasi.
Haiingii akilini wala sipati/sioni logic kabisa katika kesi hii. Inawezekana vipi mtu na watoto wake wakawa wanalawiti kwa pamoja, hata kama wendawazimu. Yaani ukijaribu kutumia hata akili ndogo kabisa utagundua hapo kuna mkono wa mtu mkubwa ambao unalipiza kisasi.
Kwa hiyo eeh Bwana, tunapokumbuka kifo na mateso ya huyo mwanao tunakutolea kikombe cha wakovu..... ili uweze kuwaokoa waonewao.. tunaomba haya kwa njia ya Kristo mwanao...............!
sure mkuu jamaa analeta siasa, ndio maana anakuja na ngonjera, kama swala ni mkanda wa x walitaka kurecod, sinza kuna wana wake wengi na wengine makahaba wasinge shindwa kuwatumia, pili sijawa kuona mkanda wa x ukiwashirikisha watoto wa miaka 8 na wenge miaka 50....nani ata nunua...
Mkuu huo wimbo wameimba akina nguza ama? vipi unao wewe mkuu? maana sijawahi usikia..!!!!Redio itakayopiga itafungiwa kwa uchochezi na kuhatarisha usalama wa nchi na kuingilia mambo ya ndani ya mkuu wa nchi na mkewe!
Sasa mkuu unashindwa kutumia akili za kuzaliwa kwamba watakapo sema kuna mkanda wa watoto wadogo wakicheza ngono..na amongst the parties kwenye huo ni mkanda ni hao wanamziki wanaojulikana? huoni kwamba watakua wamejikamatisha fikiria nje ya box mkuu watanzania sasa hivi tunahoji vitu sio kama enzi hizooo...? maaana wakishaonekana wao ndo walikua wana act au kuwafanya watoto wadogo kesi yao ni kubwa maana..hiyo evidence kimsingi si ndogo sana kui rebut..unanisoma hapo mkuu? wacha siasa ongea facts, facts ambazo ni more probable sio tu mere speculations without any basis..over..!! pacta sunt servanda..!!!Poa...jamani acha me nijitoe kwenye hii mada..coz hua sipendi maneno ya kashfa mngesubiri nimalize ndo mungeanza kukosoa lkn cjafka hata robo,sasa wewe unaesema madada poa wapo unadhani ukitumia adult nani atashangaa wakati mambo hayo watu washayazoea, hivi ww leo hii ukickia kuna X ya watoto wakifanya ngono na watu wazma huta haha kuitafuta uone maajabu..msichukulie vitu juu juu, au mnataka tusiseme ukweli ili muendelee kumchafua mkuu.!ivi sababu za kuwaachia wale watoto wawili zimetajwa? Kama zimetajwa nambie mi sijasikia kifungu kilichowaacha huru Mbangu na mdogo wake.?haya jamani hili tuachane nalo tujadili mengine..
Poa...jamani acha me nijitoe kwenye hii mada..coz hua sipendi maneno ya kashfa mngesubiri nimalize ndo mungeanza kukosoa lkn cjafka hata robo,sasa wewe unaesema madada poa wapo unadhani ukitumia adult nani atashangaa wakati mambo hayo watu washayazoea, hivi ww leo hii ukickia kuna X ya watoto wakifanya ngono na watu wazma huta haha kuitafuta uone maajabu..msichukulie vitu juu juu, au mnataka tusiseme ukweli ili muendelee kumchafua mkuu.!ivi sababu za kuwaachia wale watoto wawili zimetajwa? Kama zimetajwa nambie mi sijasikia kifungu kilichowaacha huru Mbangu na mdogo wake.?haya jamani hili tuachane nalo tujadili mengine..
Mkuu huo wimbo upo ila uwe makini unaweza kufunguliwa kesi ya ugaidi. Ameimba Nguza na wanawe. Tafuta kwa wauzaji wa cd, kaseti katika albam ya Seya. Wimbo huo unaitwa Salima. Sasa ukiondoa hiyo 'i' hapo ndipo penye tatizo ambapo unaweza kukuta unapelekwa Igunga kufunguliwa kesi ya ugaidi. Huo wimbo ulikuwa unapigwa sana katika vituo vya redio baada ya kesi na jamaa kufungwa ni kama na wimbo nao ulifungiwa lakini mitaani upo!Mkuu huo wimbo wameimba akina nguza ama? vipi unao wewe mkuu? maana sijawahi usikia..!!!!
Mkuu huo wimbo upo ila uwe makini unaweza kufunguliwa kesi ya ugaidi. Ameimba Nguza na wanawe. Tafuta kwa wauzaji wa cd, kaseti katika albam ya Seya. Wimbo huo unaitwa Salima. Sasa ukiondoa hiyo 'i' hapo ndipo penye tatizo ambapo unaweza kukuta unapelekwa Igunga kufunguliwa kesi ya ugaidi. Huo wimbo ulikuwa unapigwa sana katika vituo vya redio baada ya kesi na jamaa kufungwa ni kama na wimbo nao ulifungiwa lakini mitaani upo!