Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
Pinda keshafanya yaliyo ndani wa uwezo wako..sasa na wewe tunakatakujua kuwa huyu waziri aliyelidanganya bunge tukufu kuwa hali ni shwari huko mahospitalini ili hali watu walikuwa wanakufa utamtimua lini?
Nimeipenda hii------sasa sio baba riz tena ni baba mwanaasha!!!!
We...mwanaasha ongea na mshua!
Jamani mbona tunamyima raha mwanaasha wa watu??
Kwkwli huyu mtoto kamwalibia jina mzee wa kaya aisee.
mwanaasha baba yake ni mkuu wa kaya kwanini tusimhoji?
Pinda keshafanya yaliyo ndani wa uwezo wako..sasa na wewe tunakatakujua kuwa huyu waziri aliyelidanganya bunge tukufu kuwa hali ni shwari huko mahospitalini ili hali watu walikuwa wanakufa utamtimua lini?
WanaJF hamumtendei haki huyu mtoto, mnatakiwa kumpa pole na kumpa matumaini kuwa bado kunafursa nyingine katika maisha ambazo anaweza kuzifuata kufanikisha malengo yake kwa namna inayofaa. Tuanche kumbeza, kumkejeli, kumzodoa na mengine yanayofanana na hayo. Anguko katika maisha sio kwenye mitihani tu. Tubadilike, tuwe watu wakupeana matumaini na njia za kukabiliana na matatizo kwa wenzetu wanaokabilana na shida.Kwkwli huyu mtoto kamwalibia jina mzee wa kaya aisee.
Pinda keshafanya yaliyo ndani wa uwezo wako..sasa na wewe tunakatakujua kuwa huyu waziri aliyelidanganya bunge tukufu kuwa hali ni shwari huko mahospitalini ili hali watu walikuwa wanakufa utamtimua lini?
jamani mimi yule mwanaasha nimemzimia mbaya sijui mtanisaidiaje wana jf mi niko tayari kumsubiri mpaka amalize shule jamani msaada tafadhali
WanaJF hamumtendei haki huyu mtoto, mnatakiwa kumpa pole na kumpa matumaini kuwa bado kunafursa nyingine katika maisha ambazo anaweza kuzifuata kufanikisha malengo yake kwa namna inayofaa. Tuanche kumbeza, kumkejeli, kumzodoa na mengine yanayofanana na hayo. Anguko katika maisha sio kwenye mitihani tu. Tubadilike, tuwe watu wakupeana matumaini na njia za kukabiliana na matatizo kwa wenzetu wanaokabilana na shida.