Baba mmoja au mama mmoja?

Baba mmoja au mama mmoja?

chibiliti

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Habar wana jukwaa ,kuna jambo binafsi natamani kulifaham ki uhalisia wake Hivi ni kweli kuwa watoto wa mama mmoja wanapendana zaidi kuliko wa baba mmoja mama tofauti?., naomba kuwasilisha.
 
Kina mama hufitinisha watoto,kina baba hawana muda huo kwa watoto wa mke
 
Inawezekana, mara nyingi wanaozaliwa mama mmoja huwa wanapndana sna, labda kwa kuwa wanajihic ni ndugu wasiokuwa na shaka. tofauti na waliochangia baba tu, kwan ukweli anaujua mama.
 
Yes wa mama mmoja hupendana kwa kuwa wamekuwa pamoja na malezi ya pamoja huyu wa kwa baba anaweza kuletwa ukubwani hilo ndio tatizo automaticaly mnajikuta tabia makuzi malezi tofauti
 
Yes wa mama mmoja hupendana kwa kuwa wamekuwa pamoja na malezi ya pamoja huyu wa kwa baba anaweza kuletwa ukubwani hilo ndio tatizo automaticaly mnajikuta tabia makuzi malezi tofauti
yaan umeelezea vizuri sana,maelezo mafupi na yenye maana nzuri na nyepesi kuielewa!!!kweli great thinkers wapo,mwanzoni nilianza kupoteza iman!!
 
thx mkuu mimi ni muhanga pia nimekuwa na uzoefu nalo [/B]
yaan umeelezea vizuri sana,maelezo mafupi na yenye maana nzuri na nyepesi kuielewa!!!kweli great thinkers wapo,mwanzoni nilianza kupoteza iman!!
 
Yes wa mama mmoja hupendana kwa kuwa wamekuwa pamoja na malezi ya pamoja huyu wa kwa baba anaweza kuletwa ukubwani hilo ndio tatizo automaticaly mnajikuta tabia makuzi malezi tofauti

Umenena vyema kabisa......ni ukweli mtupu na ndivyo hivyo.....
 
  1. Baba mmoja Mama mmoja.
  2. Mama mmoja Baba tofauti tofauti.
  3. Baba tofauti tofauti Mama mmoja.
  4. Mama tofauti Baba tofauti.
  5. Mama tofauti tofauti Baba tofauti tofauti.

Umeona swali lilivyo complicated hapo?
 
Swali la pili na la 3........swali ni hilo hilo hakuna tofauti......
 
yaan umeelezea vizuri sana,maelezo mafupi na yenye maana nzuri na nyepesi kuielewa!!!kweli great thinkers wapo,mwanzoni nilianza kupoteza iman!!

Nashukuru umeliona hilo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inawezekana, mara nyingi wanaozaliwa mama mmoja huwa wanapndana sna, labda kwa kuwa wanajihic ni ndugu wasiokuwa na shaka. tofauti na waliochangia baba tu, kwan ukweli anaujua mama.
Mama wa kambo nao wanachangia mno kuwafanya watoto kwa upande wa baba wasielewane/wasipendane.
 
Wewe ni mmoja wa watoto wa mama mmoja baba tofauti?

yaah mm na mdogo wangu tume share baba na watoto wawili wa mama mwingine lakini mapenzi baina yetu hayapo kana baba yetu sio mmoja kila na ndg yake.
 
Hilo halina ubishi tena ikitokea mama mwenyewe hawi interupted na mmoja wa mwanaume ambae amezaa nae yaani mama ameamua kukubali matokeo kwa kutoa malezi mwenyewe
 
kwqa maisha yetu ya kiafrika mara nyingi mama huwa anakuwa na watoto kwa muda mrefu wakati baba yuko kwenye mihangahiko hivyo watoto wote huwa chini ya ulezi wa mama na kwa sababu wote ni watoto wa mama mmoja ni vigumu kuwabagua lakini iwapo watoto ni wa mama tofauti ni rahisi kubaguliwa na mpaka baba agundue tayari muda mrefu huwa umepita
 
Kina mama hufitinisha watoto,kina baba hawana muda huo kwa watoto wa mke
watoto wa mama mmoja wanaelewana sana kuliko wa baba mmoja , mimi hili nalipa 100% ni true sijui ni kwa sababu hiyo ulioileza au la
 
Je nahii ya Watoto wote wa Mama halafu Baba huna mtoto kwa Mama yao (yaani anabaki kuwa Baba mlezi) Inakuwaje? Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom