Baba mdogo anautaka mchepuko wangu kwa lazima

Baba mdogo anautaka mchepuko wangu kwa lazima

Akisema kwa wife na wewe mseme kwa mamdogo! Mmemaliza.
 
mungu awarehemu kiukweli hz ndoa mungu aingilie kati... pamoja na yote bado cku moja mkapige kura kwanza usisahau kuukumbusha na mchepuko...lol
 
Inaonekana ukoo wenu ni balaa, ongea na mchepuko kwanza kisha mpe baba mdogo namba
 
Back
Top Bottom