Baba mdogo anautaka mchepuko wangu kwa lazima

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.
 
Mpe umuokoe baba yako, Kwan unataka umuone huyo mchepuko!?
 
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.

Mpe namba ila mwambie demu amchane na kumpiga kibuti cha nguvu
 
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.

Baba na mwanae wanagombania mwanamke?kazi kweli kweli(in kikwete's voice)
 
Hivi ni nani huyo aliyepandikiza hii rahana kwenu
enyi wanadamu....???
Eee Baba wasemehe kwani hawajui walitendalo .
 
Mwachie tu kwani mchepuko kitu gani bwana,ww si una mke?
 
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.

Kuna mawiL apa@unaweza ukampa mkamfanya kitega uchumi ila ukinyang'anywa mazima usilalamike then cha pili unaweza ukamruhus tuu amwambie wife kiroho swafiiii@lakin jua jins ya kumsuka wife ishu ikisha buma
 
Na ww mwambie utamsakizia kwa wife wake akisema.. si unamsg.. ngoma draw
 
Una mke nyumbani nenda katulie nae huyo mchepuko mwachie bamdogo c hana wife.
 
Iv siyo wewe uliemtoa out wife wako weekend ya ivi karibuni!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta chemba na kusema amempenda ghafla huyo rafiki yangu.Mimi nikamchana live kuwa ule ni mchepuko wangu.Sasa Leo kuanzia asubuhi kila Mara ananitumia SMS kuwa nimpe namba ya mchepuko au aseme kwa wife.Nipo njia panda maana sikutegemea kabisa ba mdogo afanye kitu kama hiki.

Wote wazinzi
 
Back
Top Bottom