Asante shem!Utakuwepo ehh?
Kwa niaba ya bro anafurahi kuona Shem Ana friends!
Huyu bro bana, anywayz.?',..? Lizzy darling, umpikie supu ya mkia wa kitu cha moto huyu reverend.Kwa kweli darling Shem Nitakuwepo Kama mlinzi asiyeonekana!
Hii ni kwa hisani ya nani? Ya bro au yako binafsi.......tehe tehe!
Huyu bro bana, anywayz.?',..? Lizzy darling, umpikie supu ya mkia wa kitu cha moto huyu reverend.
Mimi siwezi sema nimefurahia kurudi kwa Rev. lakini chochote kinachomfurahisha Lizzy sina budi kukikubali.Hiyo muhimu mpendwa....ili tujue yaliyojiri!!!
Mimi siwezi sema nimefurahia kurudi kwa Rev. lakini chochote kinachomfurahisha Lizzy sina budi kukikubali.
Lizzy na Rev.watakueleza si umesema utakuwepo kwenye sherehe ya kumkaribisha ?Mazeee hebu vavadua hiyo kauli !
Hahaha! sisemi zaidi utaniitia FFU sasa hivi nakujua vizuri lol!U bwana....baba mchungaji analeta kiwingu ehhhh????
Lizzy na Rev.watakueleza si umesema utakuwepo kwenye sherehe ya kumkaribisha ?
Kweli eeeh! unaonaje tukitoroka leo ?Hahahahah....haman leo yani ni full peace!!!Yani nnafuraha mpaka ukinipiga nacheka!!!!:msela:
Kweli eeeh! unaonaje tukitoroka leo ?
Are you watching as Wozoza or on behalf of the Rev. ?I am watching this!