Baba mchungaji is coming hooome!!!

Lizzy asante sana kwa mapokezi mazuri! Kwa baba Mchungaji yupo gado kama mnavyoona mama mchungaji na shughuli zake

VIN.jpg

Mama mchungaji mbona mchungaji kazeeka hivyo?
Mmmmh anahitaji matunzo ya ziada, jitaidi mama angu.
 
Hebu mpotezee haraka sana huyo! Mambo ni aje yaani nimejichokea hivi...... ngoja nipate supu fasta

Weweee!Baba mchungaji is in the house!Karibu baba...ngoja nikuandalie kitu chakula kabla hatujajumuika na waumini kusherekea ujio wako!Missed u sana..sana sana!
 
Mama mchungaji mbona mchungaji kazeeka hivyo?
Mmmmh anahitaji matunzo ya ziada, jitaidi mama angu.
Jamani LD si katoka jela huyo!Anahitaji muda kurecover!Wiki moja tu ya uji wa ulezi wenye maziwa ya haja na blueband kila asubuhi..supu au mtori mchana...jioni ugali wa nguvu kwa mchicha na samaki!Embu ngoja niwahi jikoni..yani hutamkumbuka baada ya wiki!
 
Mama mchungaji, hapo kwenye redi ni macho yangu ama??
Ndio kitu gani hiyo??
 
Lizzy asante sana kwa mapokezi mazuri! Kwa baba Mchungaji yupo gado kama mnavyoona mama mchungaji na shughuli zake

VIN.jpg

naona umelete mvinyo wa kutosha..
karibu san Rev.
sasa ntarudi kuimba kwaya...
na kufundisha sunday school..
lol
 
naona umelete mvinyo wa kutosha..
karibu san Rev.
sasa ntarudi kuimba kwaya...
na kufundisha sunday school..
lol
We AD unafanya kazi kwasababu ya mchungaji au kwa nia ya kusambaza neno?Unanitia mashaka!
 
We AD unafanya kazi kwasababu ya mchungaji au kwa nia ya kusambaza neno?Unanitia mashaka!

hahahahahah lol
hilo swali gumu duuu
mie ntasema vyote..
Rev. akiwa na furaha kila mtu anafuraha hahah lol
na ataeneza neno vizuri na si tutapokea vizuri zaidi na kulieneza.hahahah lol
 
Back
Top Bottom