Baba kutembea na mwanae wa kike

dunia imefikia ukingoni nilishuhudia siku moja msasani beach club binti na baba wamekaa meza moja na binti kavaa bikini halafu baba akipigiwa simu binti anaona wivu anahoji !binti alikuwa under 20 it was quite a scene

Aisee hii nayo aibu kweli
 
uwiii hii nayo ngumu kumeza, kuna mambo ambayo dunia inafanya hadi huyo shetani anashangaa!!
 
pyuuu,hii kali lakn hailewesh mweh
 
Hii inalenga kudhalilisha wanaume. Mbona watoto wa kihindi wa kiume wanajifunzia kwa mama zao na ni kawaida tu ?
 
Ungekuwa fair kama ungewataja na masheikh na maustadhi wanaolawiti, otherwise unasumbuliwa na ugonjwa wako sugu wa religion hatred.
 
Kula mtoto wako? Siwezi kuelewa hii.

Hili jambo lipo lakini halina ushaidi ni vigumu kuthibitisha tuhuma hizi ila wapo wanaokula watoto zao na wana wivu balaa na mara nyingi mabinti wa aina hii uzeekea nyumbani bila kuolewa.
 
ni haki baba mzazi kutembea na mtoto wa mkewe ambaye hakuzaa naye. dini ya kiislam inaruhusu hilo kumuowa binti wa mkeo na mtume mohamad alifanya jambo hilo
 
ni haki baba mzazi kutembea na mtoto wa mkewe ambaye hakuzaa naye. dini ya kiislam inaruhusu hilo kumuowa binti wa mkeo na mtume mohamad alifanya jambo hilo

You can say it again.....:what::what::what:
 
Ungekuwa fair kama ungewataja na masheikh na maustadhi wanaolawiti, otherwise unasumbuliwa na ugonjwa wako sugu wa religion hatred.

Sijasikia Masheikh na Maustadh ikawa ni disaster mpaka ikafikia UN. Hapa hakuna cha hatred, hapo ni ukweli mtupu na ungefunguka kidogo ukauona huo ukweli kutoka ndani ya moyo wako, mficha maradhi kifo humuumbuwa. Leo mpaka Umoja wa Mataifa inaingilia kati halafu wewe unataka kutetea nini?

Jisomee: UN denounces Vatican over child abuse and demands immediate action | World news | theguardian.com
 
Hii ni laana mbaya, yaani mwisho wa maisha wa huyo baba hauwi mzuri. Biblia haijaruhusu baba kumuoa mwanae. Hii kesi ni MUNGU pekee atakaye ihukumu. Pia maadili yameporomoka sana wazazi na watoto wao wa kike wameongeza ukaribu mno na vivazi vya ajabu ajabu, eti wanaenda kizungu. MUNGU atunusuru.
 
Napita
 
Kwa hili wakorintho tunatia aibu kwa kweli. Ni chungu kumeza lakini habari ndio hiyo. Mashehe mapadri wote hufanya uchafu, lakini wakristo kupitia viongozi wa makanisa tunatia aibu
 
ni haki baba mzazi kutembea na mtoto wa mkewe ambaye hakuzaa naye. dini ya kiislam inaruhusu hilo kumuowa binti wa mkeo na mtume mohamad alifanya jambo hilo

Aisee lakini mtoto wa mkeo si mtoto wako!!
 
Acha kufuatilia maisha ya watu. Unadhani wenyewe hawajui hilo? Fanya yako, usawa mbovu huu, vyuma vimekaza, mpaka nafikiria kuwa dalali au MC nipate pesa za bwerere ambazo TRA hawazitozi kodi.
 
Hii inalenga kudhalilisha wanaume. Mbona watoto wa kihindi wa kiume wanajifunzia kwa mama zao na ni kawaida tu ?
Tufanye kazi, hayo mengine tuwaachie wahindi, hata wakiamua kutifuana tope ni yao sisi hapa kazi tu. Dar tumeamua kumuunga mkono Mhe. Bashite kwa kupanda miti kipiindi hiki cha mvua ili kusudi tusipate shida ya njaa (matunda) na kivuli wakati wa ukame. Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…