Huyu Dr. charge zake kama unanunua gari hapo mafua tu kisukari sijui bei yake itakuwaje.mpeleke kwa docta ndodi mwembechai dar atakusaidia
Huyu Dr. charge zake kama ununua ngali hapo mafua tu kisukari sijui bei yake itakuwaje.

Wana Jf naombeni mniwie radhi! hi ni kwasabab nimeposthi thread sehem ambayo sio yake, nimefanya hivi kwasababu nadhani hii ndio page inayotembelewa sana.
Jamani mimi baba yangu mzazi anaugua ugonjwa wa sukari, kiukweli umemtesa faza, manake alivyokua miaka minne iliyopita ni tofauti sana na sasa.
Baba amedhoofika kiafya, aliua taf, ila sasa ni mdhaifu. Hosital amekwenda, amepata ushauri na tiba pamoja na masharti yote na anayazingatia ila bado hali sio nzuri.
Nawaombeni waungwana kama mnafaham dawa za kienyeji ambazo zaweza tibu kabisa hii kitu ikaisha, au kama kuna mtu mnaemfaham naeweza kumwona (sio ushirikina).
Natanguliza shukrani zangu.

Pole na mpe pole sana mzee, maana kwa kweli kisukari ni ugonjwa unao dhohofisha sana mwili, Insha'Allah kwa kupitia hizo namba ulizo pewa pamoja na dua zetu basi Mwenyezi Mungu atajaalia kwa mzee wetu kupata nafuu na kupona kabisa.Wana Jf naombeni mniwie radhi! hi ni kwasabab nimeposthi thread sehem ambayo sio yake, nimefanya hivi kwasababu nadhani hii ndio page inayotembelewa sana.