VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Kama umbea,huu ulifungua mwaka. Yaani,kila kitu mletamada anajua,utadhani mhusika. Haya,jf iekusaidia nini? Kama ulikuwa na akili,uliwasaidia nini watoto hao? Haua,jukwaa bado linachangamka.
Basi nae mama jina tu. Japo kama akili ndo hizi? Poleni.Tatizo mama hataki kabisa mambo haya yawekwe anahofu ya kuachika na kurud bush