Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

Status
Not open for further replies.

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka.

Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit (50), anadaiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 14.

Mtuhumiwa huyo alimuingilia binti yake huyo kinyume na maumbile na kumsababishia madhara makubwa mwilini wake.

Akizungumzia kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkadam Khamis Mkadam, alisema tukio hilo limetokea eneo la Misufini.

Alisema baada ya kuhojiwa mtoto huyo, alisema baba yake alikuwa akimlazimisha kufanya mapenzi baada ya mama yake kutengana na baba huyo.

Alisema uchunguzi wa kidaktari umeonesha kuwa mtoto huyo ameingiliwa mbele na nyuma.

Katika tukio lingine la mkoa wa Kusini Unguja Polisi inamshikilia Ali Hashim Ali (27) mkazi wa Mwera visiwani hapa kwa tuhuma za kumuingilia mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Kamanda wa polisi mkoani humo, Juma Said Khamis alisema kijana huyo alimrubuni mtoto huyo kwa kumuahidi kuwa atampatia mbuzi wa kufuga.

Alisema mtuhumiwa huyo alimchukua mtoto huyo na kumpeleka katika boma la nyumba na kumfanyia kitendo hicho cha kinyama.

Alisema mtuhumiwa ameshawahi kuwalawiti watoto wengine wawili wa kiume.

Watuhumiwa wote wapo chini ya ulinzi.
Akihutubia Baraza la Idi hivi karibuni, Dk Ali Muhammed Shein alikemea vitendo vya udhalilishaji na kutaka vipigwe vita.

Alisema takwimu za vitendo vya udhalilishaji zinaonesha kuendelea kuwepo kwa vitendo hivyo licha ya jitihada zinazochukuliwa na serikali na kushiriana na wanaharakati.

Chanzo: Nipashe
 
Hivi wale waliochapwa bakora wakati wa mfungo ni wabaya zaidi ya hawa wabakaji?
 
Vyombo vya sheria visifumbie macho mambo Kama haya, wananchi tunataka kuona adhabu kali kwa watu Kama Hawa ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Mbona hawajasema...huyo aliyeahidi mbuzi alitoa?au liligoma baada ya kupewa
 
Watu wanasoma habari mbaya kuhusiana na kufanyiwa udhalilishaji Watoto wasio na hatia. Badala ya kukemea wanatafuta habari za kuunga unga zinazohusu Imani nyingile lengo likiwa kupoteza mjadala. Tunaelekea wapi? Je huku sio kulea uovu?
 
Waliofanya kitendo hicho ni waswahili na kama asipotubu siku ya kiyama atafufuliwa kwenye kaumu lut(sodoma na gomora) hatapata nafasi ya kumuona mtume muhammad saw na kama zanzibar ingekuwa nchi ya kiislamu na ingethibitka kuwa kuna kitu km hicho kimefanyika na mashahidi wangepatikana huyo baba alistahiki kifo cha mawe
Mimi km muislam nasikitishwa na kitendo hicho km kweli kimefanyika ni kinyume na majina yake mazuri na kinyume na mwenendo wa kiislam
 
Watu wanasoma habari mbaya kuhusiana na kufanyiwa udhalilishaji Watoto wasio na hatia. Badala ya kukemea wanatafuta habari za kuunga unga zinazohusu Imani nyingile lengo likiwa kupoteza mjadala. Tunaelekea wapi? Je huku sio kulea uovu?

We mnafiki umeshindwa kuwaona hao wenzio waliowanasibisha hao waswahili wakiznz na uislam
 
Haya matendo ni mabaya sana bila kiangalia aliyefanya ni wa imani gani
Tuyakemee na kuwaadhibu wanaofanya hayo na sio kutafuta mifano ya watu wa imani nyingine waliowahi kufanya kama hayo...kwa hivyo hatujengi bali kushabikia uovu kwa kulinganisha nani nani amefanya uovu zaidi
Uovu ni uovu tu hata ungefanywa na nani!.
 
Watu kama hao inapaswa kupewa adhabu ya kunyogwa mpaka wafe ili wengine wajifunze
 
Koote kwingine mnaiga tu, ila visiwani Zanzibar ndo chimbuko za mafiraji
 
Watu wanasoma habari mbaya kuhusiana na kufanyiwa udhalilishaji Watoto wasio na hatia. Badala ya kukemea wanatafuta habari za kuunga unga zinazohusu Imani nyingile lengo likiwa kupoteza mjadala. Tunaelekea wapi? Je huku sio kulea uovu?




Mkuu hata mimi nashangaa. Baada ya kukemea wao wanaleta masihara.
 
Waswahili wanasema mti wenye matunda mengi hauishi kupigwa mawe.

Na mimi Mods manati zao wameelekeza South Centra kwa kahtaan.

Hapa mpaka JF ifungwe.
Hakimbii mtu.

Tetesi zinasema huyo mvulana ni khataan ila walikosea kwenye kuandika umri. Angalieni namna ya kumsaidia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom