Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,147
Hapo lazima dada yetu atakuwa alitoka nje ya ndoa!Nimesoma kisahiki kinasikitisha sana, wasichana wa sikuhizi hawaaminiki kabisa,
Teh teh teh!kuna mwarabu furani alipewa uroda!Mmmhh!..hapo pagumu mtoto mwarabu mama mluguru na baba mngoni...hapo lazima kuna kitu si bure..
Wandugu; kwani nywele zina aina ngapi ?
Vyema nashukuru mkuu,Kuna zakizungu,somali,kihindi,kiarabu,afrika na zadukani
Nimetizams hiyo picha ya mtoto. Hizo nywele wala sio za kiarabu! Nadhani ni kukosa uzoefu tu. Hizo nywele huwa zinabadilika kadri mtoto anavyokua. Akifikisha miaka mitatu wala huwezi kujua kama alizaliwa na nywele za aina hiyo.Madokta hebu mfafanue kuna uwezekano wa nywele za mtoto kuwa tofauti na za wazazi
Kuna zakizungu,somali,kihindi,kiarabu,afrika na zadukani
Mmmhh!..hapo pagumu mtoto mwarabu mama mluguru na baba mngoni...hapo lazima kuna kitu si bure..