JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Mwanaume kiwa WEAK kweye decision WANAWAKE WATAKUENDESHA SANAAA! Si MAMA YAKO, MKEO, MAMA MKWE, DADA ZAKO, SHEMEJI ZAKO, HADI WAFAGIZI NA WAPIKA CHAI OISINI KWENU WATAKUKALIA KICHWANI.!!!!!!!!
Mwanaume unatakiwa uwe DECISIVE NA UNA MSIMAMO NA ITAKADI ZAKO, kiasi kwamba mwanmke yeyote unampeleka kwa itikadi zako.
Mimi nawasubiri tu waje waanze kuleta zegwe kwa laaziz wangu,potelea mbali bora na undugu wenyewe ufe
washukuru bibi na babu yako wasingemtafutia mke baba yako usingezaliwa.
Nadhani inategemea na malezi alio lelewa mwanamme,mimi kwa mfano mume wangu mwanzo aliponioa nilikua napata tabu sana ilikua nilitaka kwenda kuwaona wazee wangu ruksa lazima atoe babamkwe na ukimpigia simu anakwambia kuna ulazima gani kwenda yani kuna mgonjwa kuna harusi kuna nini? nilianza kumbadilisha mumewangu pole pole sasaivi ruksa kiatu changu nikisema leo naenda kumuona mama sawa naenda kwenu sawa,mkwe kasema kapewa ukweli katulia....
Umeona eeh,pole pole anaufungua mdomo mwenyeweee.....power of love..
Umeona eeh,pole pole anaufungua mdomo mwenyeweee.....
Niamini Utapenda.pole poleee wala sina haraka kama staki vile...hahaaa!! ngoja siku moja ntakuja nikuone unavyotumia ulimi wako. lol!