Huu ndio ukweli wa mambo, baba mwenye nyumba akishindwa kuongoza watoto kwa njia inayotakiwa kimalezi, huanza kutumia nguvu zisizo na sababu. mara kufoka ovyo mara kutumia viboko mahala ambapo angeelekeza na wanae kumwelewa, hutumia mabavu na nguvu nyingi sana na matokeo yake huchokwa na mzazi mwenzake pamoja na majiraji humuona mtu wa ovyo sana.
Mfano huu unatosha kuelezea uongozi wa awamu hii ya tano, hakuna kitu kinachoitwa political science ule weledi wa kisiasa haupo maana kazi ya mwanasiasa mzuri ni kushawishi watu wala siyo kutumia mabavu na nguvu za dola kuwatishia watu..kila mwenye wadhifa ktk awamu hii amegeuka mtemi, wa kutoa amri na kufukuza watumishi bila hata sababu za msingi.
Matokeo ya kutumia nguvu na mabavu wananchi hujengewa chuki isiyokuwa na msingi wowote na matokeo yake watu hupata burn out kisaikolojia na kusababisha mifarakano isiyokuwa ya lazima.