Jamani!
Hii ni Dhambi ya jinai kabisa!
Huu ni usanii. Watu wanapata pesa at the expense ya wagonjwa wa UKIMWI.
Nimeangalia vyanzo vya taarifa za kitafiti juu ya UKIMWI na sijaona chochote juu ya Baariz.
Taarifa za clinical trials zinazotambulika na kufanyika kwa viwango vinavyotakiwa huwa kwenye tovuti ya Basic Search - ClinicalTrials.gov . Nimetafuta taarifa za Baariz hapo na hamna kitu chochote juu ya utafiti kama huo.
Mimi naona huu ni usanii, tena mbaya sana maana watu waliopoteza tumaini watashawishika kutuma pesa ili watumiwe hiyo dawa.
Hii ni dhambi ya jinai kabisa.
Nadhani ni vyema kui-qualify hii taarifa as a possible hoax ili watu wasiichukue nzima nzima.
Nyau