Baariz – The Ultimate Treatment for HIV/AIDS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baariz – The Ultimate Treatment for HIV/AIDS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpogoro, Jun 11, 2010.

 1. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I am please to share with the group that Alhamdolliha, we have received overwhelming response on Baariz – The Ultimate Treatment for HIV/AIDS.
  Currently patients of HIV/AIDS in over 30 countries have started Baariz, and alhamdolliha they are doing great.
  To recap, Baariz has herbal origin, it was tested in the Nagoya University, Japan for its anti-HIV activity in laboratory conditions on cell lines infected with HIV, using MTT assay, where Baariz has shown strong Anti-HIV, virucidal activity.

  When Baariz was administered in patients with HIV/AIDS, having wide range of virus load at baseline ranging from 12,000 to 6 million copies/ml, it showed equally effective results, serially decline in virus load until no virus was detected in their blood samples.

  Treatment was further given for 3 – 6 months to such patients, and then it was stopped, but we continued to monitor patients virus load, surprisingly virus never detected again in patients treated with Baariz, our first patient became negative some 7 years back and still negative.

  We did not found side effects associated with Baariz, as its base is being used in the community since centuries, and consider free from toxicities and side effects.

  Baariz is available in oral capsule form, being sent all across the world, through courier/air express postal services or bulk shipment through air cargo, average treatment duration is around 12 months, patient can feel the improvement in their constitutional signs & symptoms (if any) within few weeks of treatment, whereas significant reduction in their HIV virus load is evident within six months, and subsequent cure.

  We do not recommend ARV/HAART therapy along with Baariz, but if the patient is already taking such medicine, they must continue with Baariz for 6 months.

  Currently we are offering Baariz on Non-commercial (cost to cost) basis, within 3 working days upon receiving payment Baariz will be dispatch, It usually takes 7 - 10 days to reach the medicine to the patients.

  I am pleased to share with you our research study on Baariz, received well by the audience of 5th International AIDS Society Conference, July 19 – 22, at Cape Town, South Africa and has been awarded “Excellence” by the program scientific committee (world’s largest gathering of researchers / scientists on HIV/AIDS)

  I have attached E-poster presented in the conference, which can also be viewed on the conference web site, using following link;

  IAS 2009 Abstract - <i>In vitro</i> screening of traditional herbal medicinal extracts for their anti-HIV activity (in Nagoya University, Japan) or can be downloaded from our web site www.baariz.com

  Please feel free to contact us for any question/query or further information.

  Regards

  Dr. Asim Awan
  M.D., M. Sc, DPA, Ph.D (Scholar)
  Cell: +92301 – 8265 665 (9 am to 9 pm, Pakistan standard time = + 5 GMT)
   
 2. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ya kweli haya maana wagonjwa wetu wameumizwa sana na matapeli wa madawa ya asili, lkn ni nzuri tuangalie matokeo yake lkn naamini ipo siku tutapata tiba ya haka kaugonjwa,nauchukia kupita maelezo!
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  A very positive discovery, unfortunately as always we seem to lag behind in every department and I would not be suprised if the plants from which the extracts for this medicine is in Africa or originated in Africa.. jamani madaktari wetu changamukieni utafiti, kwa bahati mbaya madaktari wetu wako busy na siasa na kama hawako kwenye siasa wana fanya kazi masaa 14 kwa siku kuhudumia wagonjwa (utakuta daktari mmoja ana kliniki kwenye hospitali zaidi ya sita), kisa they are underpaid by their principal employer (Govt) hivyo inabidi wachemke kujazia
   
 5. Willy

  Willy Member

  #5
  Jun 13, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 78
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Hii ripoti ni nzuri. Lakini nikiwa mtafiti kwenye hii subject, tunatakiwa kuwa waangalifu. Kwanza muda uliripotiwa hatuwezi kusema kuwa hii dawa inatoa cure. Anasema test zimekuwa negative. hizo ni test gani. Namba za wagonjwa ni wachache mono kuweza kufanya hizo conclusion. La mwisho utafiti wa muhimu kama huu hautangazwi kwa mbwembwe. Tusibiri kupata matokeo zaidi. Kuhusu madaktari kuwa wameingia kwenye siasa, naona hapa tumeoonewa. kuna kazi nzuri sana zinafanya na madakratri kama vile utafiti wa kinga pale mihimbili na mbeya, na kitengo cha traditional mdecine pale muhimbili wameshangalia dawa nyingi. Naomba kuwasilisha. Willy
   
 6. n

  nyau Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Jamani!

  Hii ni Dhambi ya jinai kabisa!

  Huu ni usanii. Watu wanapata pesa at the expense ya wagonjwa wa UKIMWI.

  Nimeangalia vyanzo vya taarifa za kitafiti juu ya UKIMWI na sijaona chochote juu ya Baariz.

  Taarifa za clinical trials zinazotambulika na kufanyika kwa viwango vinavyotakiwa huwa kwenye tovuti ya Basic Search - ClinicalTrials.gov . Nimetafuta taarifa za Baariz hapo na hamna kitu chochote juu ya utafiti kama huo.

  Mimi naona huu ni usanii, tena mbaya sana maana watu waliopoteza tumaini watashawishika kutuma pesa ili watumiwe hiyo dawa.

  Hii ni dhambi ya jinai kabisa.

  Nadhani ni vyema kui-qualify hii taarifa as a possible hoax ili watu wasiichukue nzima nzima.

  Nyau
   
 7. minda

  minda JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hao wajanja tu.
   
 8. j

  jeniffer New Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangazo hili lingekuwa la ukweli,lingesaidia sana.Lakkini,tusisahau ya kwamba wazungu hawapendi kusikia tiba la ukimwi laweza kupatikani nje ya ulaya,kwani.kwao pia ni biashara.Tiba litapatikana kwa jamii ndogo ndogo. Ukifungua website ya Baariz,wanakuonyesha ripoti za madaktari wa Aghakhan University na University of Medidcine,Nagoya,Japan.Ni kweli madaktari wa hadhi ya juu kama hawa wanaweza danganya?Sisemi eti huyu mtafiti(Ambaye pia ni daktari anayeendelea na somo la phd) anaweza kuwa 100%,lakini huko pakistani anajulikana sana.Labda,tusi ignore vile anasema bila kumpa nafasi.Wenye wameathiriwa na virusi wanahitaji usaidizi wa namna yoyote ile
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
Loading...