Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
Habari ya mchana wana MMU na JF kwa ujumla, mimi sijambo kabisa na imani yangu kwenu ni kuwa hamjambo na kama kuna mgonjwa basi namuombea heri.
Juzi nimekutana na kisa kimoja, mkwe wa mke ni mgonjwa na kwa kuwa kijijini huduma za afya sio bora sana basi ikabidi aletwe jijini kwa matibabu zaidi. Aliyemleta ni mdogo wa jamaa aliye na huyo mwanamke aliyezua kizaazaa.
Mgonjwa alipofikishwa mjini alipelekwa nyumbani kwa kaka mtu ili atibiwe akiwa hapo, cha ajabu mama mwenye nyumba akachukia sana na kusema maneno mengi ya kuwa kwa nini uyo mdogo wako asingeenda naye kwake?
Kiuhalisia kwa mdogo nafasi haitoshi, mmoja wa watoto wa kiume wa mama mlalamikaji alimuhoji mama yake akisema siku nikioa ukaletwa kwangu unaumwa ili utibiwe mke wangu akafanya unayofanya leo, utajisikiaje? Mama akanywea na maisha yakaendelea.
Swali, kwanini wanawake mko hivyo? Hamna utu ndani yenu au ni roho mbaya iliyopitiliza?