Nilikuwa Kkkt nikatoka nikaenda kwa walokole.Njoo kkkt huku hakuna majungu Wala uasherati halafu hakuna Yale mambo yakutenga watu sijui wewe unadhambi
Habari.
Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka.
Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.
Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila nimekua ni mtu ninayemuomba Mungu ,nasoma biblia na niaduatilia mahubiri tu kwa Tv ila sio kwenda kanisani.
Nini kilibisibu mpaka nikawa hivi.
1.Baadhi ya waumini wanaitwa walokole ni watu wanaondekeza majungu,kusemana ,umbea na hili nimeliona hadi kwa viongozi wakubwa wa kanisa.
2.Walokole wengi ni watu wanaopenda Mapenzi kiukweli katika miaka ya mwanzo ya ulokole Nikiri nilimuona Mungu kabisa kupitia kusali na kushiriki ibada ila nilipoanza kujichanganya nikajikuta na date na wanakwaya ,mashemasi hadi wake za watu nafanya nao mapenzi na tukiwa kanisani tunakuwa kama waumini wa zuri hii iliniumiza sana.
3.Walokole wengi hawana hali ya kusaidiana nimepata majanga mengi nikiwa nasali niliishia kuombea ila tofauti na watu walokole wanaowaita wa dunia wamenipiga tafu sana hadi hapa nilipo.
4.Walokole ni wabinafsi sana ngumu sana kuwakuta kwa sherehe ,misiba kwa kigezo cha kusema watu wa Dunia ambao hawajaokoka.
5.Baadhi ya makanisa hayakufundisha katika kutafuta maisha zaidi ya kukutana utumike kwa Mungu Muda wote pasipo na kupata hata muda kidogo wa kujitafutia ridhiki.
Kiukweli siusemi ulokole kwa ubaya kuna faida nyingi nimezipata.
Ila nimejikuta nimeacha kabisa kwenda kusali ila nina imani nitarudi tena sijui ni lini.
Sawa
Ulokole na uganga uliotukuka , hakuna kitu sitaki kusikia kama ulokole hasa huu wa kujiipeleka sijui kwa kina mwamposa.
Familia nyingi zinaangamia kwa ajili ya majungu ya ulokole.
Mlokole ndo mtu pekee anaweza simama na uovu ili amtetea mlokole mwenzake ambaye ni mwovu
Njoo kkkt huku hakuna majungu Wala uasherati halafu hakuna Yale mambo yakutenga watu sijui wewe unadhambi
Nenda kule chama la TAWILE
Kule mtu akikupga umbea unaamua wewe umroge au umwache.
Nilikuwa Kkkt nikatoka nikaenda kwa walokole.
Niligombanagana na viongozi wangu walipoona napost status za mwakasege.
Kuwauliza wanasema mwakasege ni MKKKT wakati mimi namuona yuko vizuri kuliko hata walokole wenyewe.
Uzuri nimekutana na walokole wenye lugha za ukakasi kama wewe na wasiohitaji Suluhu yoyote katika maisha.Shetani ameshakuweza wewe unahitaji toba Tu...
Kama imeiacha njia lazima uongee kama hivi
Kaa kwa kutulia shida ya walokole kujihesabia Haki.Wokovu ni wa mtu mmojammoja , utatoa hesabu pekeako kwa Mungu
Haimaabishi ulokole wote sio
Hio ilikuwa ni ninyi nliokengeuk
Omba toba
Ukweli mtupuHabari.
Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka.
Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au ulokole.
Mungu anisamehe maana now natimiza mwaka sijui mlango wa kanisa yalinisubu ni mengi ila nimekua ni mtu ninayemuomba Mungu ,nasoma biblia na niaduatilia mahubiri tu kwa Tv ila sio kwenda kanisani.
Nini kilibisibu mpaka nikawa hivi.
1.Baadhi ya waumini wanaitwa walokole ni watu wanaondekeza majungu,kusemana ,umbea na hili nimeliona hadi kwa viongozi wakubwa wa kanisa.
2.Walokole wengi ni watu wanaopenda Mapenzi kiukweli katika miaka ya mwanzo ya ulokole Nikiri nilimuona Mungu kabisa kupitia kusali na kushiriki ibada ila nilipoanza kujichanganya nikajikuta na date na wanakwaya ,mashemasi hadi wake za watu nafanya nao mapenzi na tukiwa kanisani tunakuwa kama waumini wa zuri hii iliniumiza sana.
3.Walokole wengi hawana hali ya kusaidiana nimepata majanga mengi nikiwa nasali niliishia kuombea ila tofauti na watu walokole wanaowaita wa dunia wamenipiga tafu sana hadi hapa nilipo.
4.Walokole ni wabinafsi sana ngumu sana kuwakuta kwa sherehe ,misiba kwa kigezo cha kusema watu wa Dunia ambao hawajaokoka.
5.Baadhi ya makanisa hayakufundisha katika kutafuta maisha zaidi ya kukutana utumike kwa Mungu Muda wote pasipo na kupata hata muda kidogo wa kujitafutia ridhiki.
Kiukweli siusemi ulokole kwa ubaya kuna faida nyingi nimezipata.
Ila nimejikuta nimeacha kabisa kwenda kusali ila nina imani nitarudi tena sijui ni lini.
Kumbe huko makanisani ndio mnakula mbususu za wake wa watuuu....kha nyie ni motoni moja kwa moja🤣🤣🤣🤣Habari.