A
Anonymous
Guest
Kuhusu swala la uthibitishwaji kazini Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, watumishi wa idara mbalimbali wapo ambao wana miaka miwili, na mmoja mpaka sasa hajathibitishwa.
Watu wa Human Resources waache kujikuta miungu; wafanye kazi zao kwa weredi.
Watu wa Human Resources waache kujikuta miungu; wafanye kazi zao kwa weredi.