Baadhi ya wabunge wa UKAWA wagoma kuambatana na Lowassa

jaba jumah

Senior Member
Sep 24, 2015
150
50
Mtafaruk mpya umezuka pale ambapo unapona wabunge wanagoma kutembea na lowasa wakidai ya kuwa
walishamchafua sana na kumuita kila jina ambalo hata mengine dunian hayapo wamesema wakimnadi upya
wataonekana wao ni kituko mbele ya jamii kwani wanadai huwez ukafagia alafu ukaja ukachafua utaonekana
ni kituko wanadai huwezi ukasafisha oil chafu wakiri wenyewe nafuu ambatana na wachache wenye mioyo ya chuma
 
Wamegoma na bado hawajaitwa wasaliti?
 
Hivi wale Fisi mlio kuwa mnaambatana nao kwenye mikutano yetu mlikumbuka kuwarudisha hifadhini? Hamueleweki nyie, hatuchelewi kusikia wamepanda ndege.
 
unadhani mnafiki ni wewe au hao wambea wenzako? Kama wewe unavaa suluare jichunguze hukosi uke chini ya u.b.o.o
 
Lugha chafu zinapunguza kura za wastaarabu, hakuna mtu mwenye hekima zake akapigia pande za watoa matusi. Lugha chafu na matusi tumuachie mkapa na kibajaji
 
Uharo mtupu, ulitaka waache majimbo yao waambatane na rais mtarajiwa tu? Toroka uje
 
Mtafaruk mpya umezuka pale ambapo unapona wabunge wanagoma kutembea na lowasa wakidai ya kuwa
walishamchafua sana na kumuita kila jina ambalo hata mengine dunian hayapo wamesema wakimnadi upya
wataonekana wao ni kituko mbele ya jamii kwani wanadai huwez ukafagia alafu ukaja ukachafua utaonekana
ni kituko wanadai huwezi ukasafisha oil chafu wakiri wenyewe nafuu ambatana na wachache wenye mioyo ya chuma

Mbona unaweweseka? Mbunge gani unamzungumzia?
 
Uharo mtupu, ulitaka waache majimbo yao waambatane na rais mtarajiwa tu? Toroka uje

Wamebanwa kotekote ila ukweli unabaki kuwa mkweli, lowassa anauzwa na wapigaji wenzie aliohama nao, wenyeji wameutua mzigo ..majimbo siyo ishu, huoni akina Mwiguru, huoni akina Kigwangwala, huoni akina Masere? hiyo ndo team work.
 
Mtafaruk mpya umezuka pale ambapo unapona wabunge wanagoma kutembea na lowasa wakidai ya kuwa
walishamchafua sana na kumuita kila jina ambalo hata mengine dunian hayapo wamesema wakimnadi upya
wataonekana wao ni kituko mbele ya jamii kwani wanadai huwez ukafagia alafu ukaja ukachafua utaonekana
ni kituko wanadai huwezi ukasafisha oil chafu wakiri wenyewe nafuu ambatana na wachache wenye mioyo ya chuma

Mkuu thread yako ya 5 hii asubuhi hii na sote zina mrengo mmoja.na id bado mpya.hongera.
 
Leo team lowasa na 4u movement wanamtukana Dr slaa duh siamini

Mkuu kwa kweli siasa hasa za Tanzania ni shida, huyu huyu dr Slaa aliye watuhumu ccm na usalama wa taifa kutaka kumuondoa uhai sasa hivi ndo wanao mlinda nyumbani kwake!
 
Back
Top Bottom