Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Sio wewe pekeako mkuu, binadamu wote tuko hivyo, wewe umetolea mfano kwenye mapenzi, mwengine atatolea mfano jiji la Dar ni sehemu anatamani walau afike siku moja aone inaonekanaje wakati wengine wanaona kawaida tu, na mwengine akikusikia unajisifia umepanda ndege atakushangaa sana maana kwake ni kitu cha kawaida sana
Kuna msemo unasema "VIDOLE HAVILINGANI".Binadamu hatufanani katika kila kitu kuanzia muonekano,hadhi,hisia,mitazamo n.k!

kwel binadamu tunatofautiana lkn katika maisha yako tokea past to now haukuwai kusifia kitu chochote kile ni kizur zaid ya chenzie iwe gari , mwanamke,nyumba,nguo,viatu etc?
Sijawai kusifia kitu hata kiweje naona kawaida.
Habari za muda huu Jamii forums.
Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa wakati Mgumu,
Mfano;
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.
Labda kuna tatizo gani.
Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.
Karibu.
Sijawai kusifia kitu hata kiweje naona kawaida.
HUKU HUKUPATA MSAADA??..BASI TATIZO LAKO NI KUBWA ZAIDI YA UFIKIRIAVYO..
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.
Labda kuna tatizo gani.
Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.
Karibu.
Sio wewe pekeako mkuu, binadamu wote tuko hivyo, wewe umetolea mfano kwenye mapenzi, mwengine atatolea mfano jiji la Dar ni sehemu anatamani walau afike siku moja aone inaonekanaje wakati wengine wanaona kawaida tu, na mwengine akikusikia unajisifia umepanda ndege atakushangaa sana maana kwake ni kitu cha kawaida sana
Mkuu unachongea ni kweli lakini naweza kuwa tofauti kidogo na wewe, katika suala la mapenzi asikuambie mtu mkikutana wawili wote mko vizuri kugegedana kunakuwa na utamu wa hali ya juu sana. Kama wewe mwanaume una upungufu wa nguvu za kiume hili suala lazima ulione la kawaida sana, ila kama upo fiti na una ngvu za kutosha utaona sio la kawaida mana ni burudani ya asiliHabari za muda huu Jamii forums.
Kuna Baadhi ya mambo ambayo kwa Upande Wangu naviona vya kawaida sana lakini nashangaa watu wengine wakikisifia kitu ambacho nakiona cha kawaida hii inanipa wakati Mgumu,
Mfano;
Suala zima la mapenzi naliona la kawaida sana kama kunawa hivi.
Lakini nitamsikia mtu mwingine akimsifia msichana aliemchukua Bar Usiku kuwa ni mzuri mtamu.
Labda kuna tatizo gani.
Kwanini vitu watu wanavyosifia naviona vya kawaida.
Karibu.
Hata hii thread yako wengine tunaiona ya kawaida tu...
Unafikiri kwanini mtu asifie kitu zaidi.