Baadhi ya viongozi wa CHAUMA

Mbwa kala mbwa 🤣🤣🤣🤣
 
CHADEMA WANA WIVU MKUBWA DHIDI YA CHAMA KIDOGO KABISA CHAUMMA
 
Reactions: Tui
Ndio shida ya kutumia rushwa
 
Ndugu Rozela

Huu ni msimu wa kupiga hela toka CCM na serikali yao..

Ziko nyingi mno kwa ajili ya kumhakikishia Chura Kiziwi ushindi wa kimagumashi...

Hawa wana haki hiyo kabisa kudai haki yao. Lakini, tunajua wanataka watulizwe kwa pesa na 100% watazipata...!

Good movie indeed. Acha wale pesa za wanaokwenda kufa...

Kwa sababu kwa vyovyote vile, kabla ya ujio wa hawa vibaka wa kisiasa wa G55, CHAUMA ilikuwa na uongozi full...

Ikawaje hawa vibaka wanaingia chamani leo, na wote wanavikwa uongozi: huyu Katibu, yule naibu, yule makamu mwenyekiti nk ?
 
Hatari sana aisee
 
Wakijiunga CHADEMA maana yake hawana uhalali wa kufungua kesi dhidi ya CHAUMA.
 
Madalali yamevamia CHAUMA hakitaenda mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…