Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,532
- 9,605
HahaWakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Mbwa ukimjua jina hakung'atiHadi kufikia Oktoba tutakuwa tumeshuhudia mengi sana.
Kitu cha msingi tuombe uhai na afya.
Erythrocyte
Na Watatekwa kweli, kwa sasa mkakati ni kuua kila anayewakwamishaDaah tuwaombee sana hao wapiganaji kabla hawajatekwa!
Kula chuma hicho Msajili wa vyamaWakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Dah inaelekea umeumia sana.Na pia upo in denial. Leta majina ya hao viongozi au itakuwa ni wishful thinking.Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Hata mimi nilijiuliza sana, vyeo walivyoenda kuvishwa hao G55 ina maana vilikuwepo wazi?Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Wenye katiba ndiyo waliofanya,we unahangaika!!Halafu utaratibu upoje kwenye vyama,inakuaje mtu anaingia kwenye chama siku hiyo hiyo ateuliwa kuwa kiongozi wa ngazi ya juu? Katiba ya Chauma inalizungumziaje jambo hili?
Ni noma sanaHata mimi nilijiuliza sana, vyeo walivyoenda kuvishwa hao G55 ina maana vilikuwepo wazi?
Kama sivyo, haowaliokuwa kwenye nafasi hizo walikula maharage ya wapi kuvikana?
Kwa kweli hii ni movie, ngoja tusogeze stool tukae sawa sawa.
Hahahahaa bila uchaguziMe nimeshangaa ghafla jamaa kawa mwakamu mwenyekiti