VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,492
- 1,466
Drc haina serikali ....Ukishaona serikali inakodi mercenaries ujue tu hakuna kitu hapo.
Kwa mfumo huo, unadhani ni rahisi!? Halafu, raia hawatabiliki. Majuzi wanashabikia serikali, leo wapo close na M23. Raia mpe amani na msosi, basi. Hapo wa kuanzisha vita tena anaanzaje! Ikiwa raia wana amani na furaha! Uadirifu ndo DRC ilichokikosa na kimeicost.Kumbe vita vinalipa
Kuna sehemu wangepata shida ukubwa wa DRC unategemeanaHilo liinchi ilikuwa kosa kwa wakoloni kuliacha likubwa hivyo, ilipaswa waligawanye vipande viine.
Akili yako ni finyu kweli kweli, ebu jaribu kupitia news mbalimbali kidogo basi ujipe ufahamu japo kiduchu. Kwani Jeshi la Congo ndio Rwanda?Vifaa wamepewa na Rwanda hivyo
Wanachoweza ni kukata mauno na kupaka mkorogoAisee kilichoniuma hapo ni hio SU-25...
Nilichojifunza, jeshi la DRC wana silaha za kutosha na bora kuliko za hao watutsi, wanachofeli tu ni nidhamu na intelijensia mbovu.
Wewe ndiyo akili kisoda. Kwani wakati kimbau mbau anakanusha hausiki ni kweli hausiki? Mbona Sasa kila kitu kipi adharani mhusika ni yeye. Na siku hizi hata kubisha kuwa hausiki kaacha. Wewe una fuvu lisiloweza kutafakari na kupambanuaAkili yako ni finyu kweli kweli, ebu jaribu kupitia news mbalimbali kidogo basi ujipe ufahamu japo kiduchu. Kwani Jeshi la Congo ndio Rwanda?