JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,829
- Thread starter
-
- #61
Na ukaona upo sawa kufanya hivyo mkuu?
Na kuharibu gearbox tu hawajui kwamba kuna particles mle ndani hazitaki kumwagwa mwaga kila mda na pia hata wanapimwaga ukiwauliza kama wanaweka atf protector kabla ya kuweka atf nyingine jibu watakwambia hapanaWatu wengi wanaobadilishia ATF kwenye magereji wanabadilisha between 9,000km to 15,000km.
Yaani ATF inatoka bado mpyaaaa. Huko ni kuchezea hela.
Kabisa.Na ukaona upo sawa kufanya hivyo mkuu?
Mkuu ukija Dar fanya mpango uonane na wadau, kuna mambo mengi ya kufanya haswa hapo kwenye Automatic gearbox, mimi ni mhanga mafundi wameshaniulia gearbox moja.Haina shida mkuu nasettle mambo I hope week ya kuanzia tar 13 mwezi wa 7 nitatua huko.
Mkuu ukija Dar fanya mpango uonane na wadau, kuna mambo mengi ya kufanya haswa hapo kwenye Automatic gearbox, mimi ni mhanga mafundi wameshaniulia gearbox moja.
Mtaalam gari ya automatic kukosa nguvu wakati wa kupanda mlima, shida ni nini?
Mkuu tunakusubiri kwa hamu kubwa.Alhamisi au ijumaa ijayo ntakuja Dar mkuu. Na nitakuwepo kwa siku kadhaa. Nna sehemu nyingi za kwenda. Mfano kama j3 naenda mbeya.
PamojaMkuu gari kukosa nguvu zipo sababu nyingi sana. Inaweza kuwa sababu za engine kama(spark plug, coil on plug, spark plug wires, fuel pump, fuel pressure regulator, baadhi ya sensors n.k. Pia shida inaweza kuwa kwenye gearbox kama(kuslip kwa torque converter, kuharibika kwa frontal oil pump, kuisha kwa baadhi ya clutches n.k. Ninaweza kukupimia.
Upo mkoa gani mkuu?
Mkuu tunakusubiri kwa hamu kubwa.
Pamoja
Bado mkuu. Vipi nilete uikague?Ulisolve tatizo la gari yako?
Wewe una weledi kuliko waliotengeneza gari? Kuna ATF hazibadilishwi kabisa hadi kufa kwa gear boksi, hata sehemu ya kumwagia gear box fluid hawajaweka. Don't ever think that they are foolDip stick inasema nisibadili ATF kabisa kama naendesha katika mazingira ya kawaida..
Ila siamini hilo.View attachment 1498234
Wewe una ujuzi kuliko waliotengeneza hiyo gearbox? Wewe unadhani hawajui hata maximum temperature ya gear box? Mkuu, elimu zenu zitumieni vizuri, msiwe kama wanaobadili jinsia, wanaona Mwenyezi MUNGU amekosea kuwaumba. Usiwe fundi mzuri anayewapotosha wateja kwenye mambo madogo wakati mambo mengi unatoa elimu nzuriKuna tofauti kubwa kati ya manual gearbox na automatic gearbox.
Katika Manual gearbox fluid iliyomo mule ndani ina kazi moja kubwa ambayo ni Lubrication na ndio maana wanatumia Oil ya kawaida...
Mkuu kwenye ATF hakuna huo utaratibu, jitahidi kusoma Manual ya gari yako. Kuna gear box nyingine hupaswi kabisa kubadilisha fluid Hadi hapo gear box itakapokuwa kuwa imekufaBinafsi nataka niimwage yote niweke ile ya Toyota kabisa halafu niwe nabadili kila baada ya km 20.000.
Sio kweli. Watengenezaji wanajua kuliko wewe ndio maana wanapokuuzia gari wanakupa waranti kabisa ikiwa ni pamoja na sharti kuwa ATF ibadilishwe km kadhaa, unazani wao ni wajinga? Yaani ni kama wale wakikaa kwenye vijiwe wanaambiana gari ikifika km kadhaa unatakiwa ubadilishe oil viscosity tofauti na maelekezo ya kwenye Manual, who told you this?Naunga mkono hoja.
Kutobadili ATF ni kuua gear box.
Hahaha! Kweli wewe ni mzee wa kula kuku vipaja then nyama inayobaki unatupa unasema ni mifupa! Mkuu, soma Manual, ATF hazibadilishwi kama Oil labda kama unaweka ATF fake fake. ATF ni km elfu 60, kama utawahi sana basi ni km 40,000Huwa namwaga ATF nikifanya service ya km 3000.
Sasa nitamwaga kila baada ya km 15.000.
Wanaweka ATF fake ndio sababu. Anapaswa aweke ATF ya toyota 110,000. Watu wanaweka ATf za elfu 30 unategemea nini. Pia wanashauriwa na mafundi mchundo wazee wa filter za elfu tatu na oil ya SAE40Nani aliwambia kila ukifanya service ya engine oil lazima umwage Atf pia? Nadhan mnashauliwa na mafundi kwa sababu tu mnaweka atf ambazo hazina ubora wowote ule na ambazo sio recommended
Infact ni upuuzi. Ni ufujaji! Hawasomi Manual za magari yao, wao wanafuata mkumbo tu, hawana hoja.Watu wengi wanaobadilishia ATF kwenye magereji wanabadilisha between 9,000km to 15,000km.
Yaani ATF inatoka bado mpyaaaa. Huko ni kuchezea hela.