Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,165
- 2,670
Mkuu shukrani sana kwa elimu uliyoitoa!
Mkuu, gari langu lina hali mbili zinazoninyima raha
1. Silencer ya gari inakuwa katika mngurumo mkubwa hata ukipark huku engine ipo on au wakati wa foleni mngurumo wake ni mkubwa hata ukiwa mbali kidogo unaisikia na sauti lake la bezi bezi hivi, hii shida ni nini?...
Ahsante sana mkuuAiseeee shukrani sana mkuu. na karibu pia...
Huwa naangalia asubuhi ikiwa parking na ipo juu ya ile level inayotakiwa.Halafu kuangalia level ya ATF kwenye gearbox inatofautiana baina ya gearbox na gearbox. Zipo ambazo wanashauri uangalie ikiwa kwenye Parking na zipo ambazo wanashauri uangalie ikiwa kwenye Neutral.
Huwa naangalia asubuhi ikiwa parking na ipo juu ya ile level inayotakiwa.
Ahsante kwa elimu
Mie gari yangu nikiwa nimesimama kwenye foleni ikiwa kwenye drive engine inatetemeka sana, ila nikiweka neutral inatulia.
Hilo linaweza kuwa tatizo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kiongozi, najifunza mengi mno.
Ukija Dsm tujulishe, gari yangu inawaka taa ya engine ikiwa switch on ila uki start haiwaki, kwa kawaida nmezoea taa za dashboard zatakiwa ziwake kwenye start na kuzima, sio kuzima mpaka ikiwa ume start engine!Haina shida mkuu. Pia karibu sana.
Ukija Dsm tujulishe, gari yangu inawaka taa ya engine ikiwa switch on ila uki start haiwaki, kwa kawaida nmezoea taa za dashboard zatakiwa ziwake kwenye start na kuzima, sio kuzima mpaka ikiwa ume start engine!
Haina shida mkuu nasettle mambo I hope week ya kuanzia tar 13 mwezi wa 7 nitatua huko.
Unafanya checking ya wire ring ya gari? Huwa natamani kufanya checkups kwa mafundi civilised, wengine anakuropokea mambo hata sio tatizo ila haraka zake tuu.
Yes mkuu nafanya na kama kuna short circuit(shoti) au parasitic draw yoyote kwenye battery ukiwa umezima gari nitakuonesha...
Na niliwahi kuandika uzi humu.. Huu hapa... [emoji116][emoji116][emoji116]
Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako
Halafu kuangalia level ya ATF kwenye gearbox inatofautiana baina ya gearbox na gearbox. Zipo ambazo wanashauri uangalie ikiwa kwenye Parking na zipo ambazo wanashauri uangalie ikiwa kwenye Neutral.
Nliusoma vyema Mkuu.
Gari yangu wanashauri uangalie level ya ATF ikiwa kwenye maximum operating temperature....
Ni ile inayokwenda kwenye sehemu ya 'resi' ( sehemu ya kebo ya kuvuta mafuta) mkuu, utanisamehe sizijui lugha ya kitaalam tunanukuu kwa mafundi wetu wa uswahilini tu.
Akhsante mkuuMkuu jana mambo yalikuwa mengi nikashindwa kukujibu.
Ila kuhusu hiyo case ya gari yako, Kwanza kabisa unatakiwa kujua kwamba gearbox haitegemei tu hiyo transmission cable pekeyake ili kubadili gear. Kuna taarifa kutoka kwenye sensors kama TPS sensor, CKP sensor, MAF na MAP(Hizi mbili hutumika kujua engine load) na Vehicle speed sensors(VSS) ambazo huwa zinakuwa kwenye gearbox...
Ahsante sana, nitaufanyia kazi ushauri wakoOkay kwa haya maelezo yako inawezekana mountings za gearbox zikawa zimekufa. Kwenye gearbox mounting huwa inakuwa moja mpaka tatu.
Tafuta fundi akuchekie hizo mkuu.